Tundu Lissu, Lema na Chadema kwa ujumla mkitaka kuuwa legacy ya hayati rais Magufuli kwa watanzania itabidi ufanye yafuatayo.

Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?.

Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze.

Unapokula kichwa reli ya kisasa ambayo inakaribia Makutupora itabidi wajieleze kwa watanzania hiyo Tanzania ya viwanda itawexekana vipi.

Unapokula kichwa ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa makuu itabidi watueleze watatusafirisha na nini?

Wanapokula kichwa ndege zetu itabidi tuwawekee video za kina Heche ,Lema,Lisu wakitukana serikali iliyoshindwa kununua ndege

Watakaposema wachimbaji wadogo, bodaboda na mama ntilie wafukuzwe itabidi watueleze wanafanya haya kwa faida ya nani?

Watakapoamua zahanati na hospitali zote zilizojengwa na Magufuli zifungwe ,itabidi watueleze tutaenda kutibiwa wapi?

Watakaposema wamefuta elimu bure itabidi watueleze kodi zetu zinafanya kazi gani?

Watakaposema lazima watanzania millioni 60 wachanjwe, itabidi watueleze wao mpaka sasa
hawajachanjwa
Nyungu hawajapiga,
Hawajajifungia ndani wanaenda kazini kila siku
Mbona hawajafa na corona sasa?

Watakaohoji haya maelezo siyo Magufuli wala watoto wa Magufuli ni watanzania.

Anayedhani itakuwa rahisi kuuwa legacy ya Magufuli atakutana na nguvu ya uma.

Muda utaongea .
uliowataja hapo juu hawahusikia hata na kuua legacy kama unavyo washutumu.
Report katoa CAG, maovu yamemulikwa? viongozi wa upinzani wanahusikaje?
 
Tundu Lissu, Lema na Chadema kwa ujumla mkitaka kuuwa legacy ya hayati rais Magufuli kwa watanzania itabidi ufanye yafuatayo.

Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?.

Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze.

Unapokula kichwa reli ya kisasa ambayo inakaribia Makutupora itabidi wajieleze kwa watanzania hiyo Tanzania ya viwanda itawexekana vipi.

Unapokula kichwa ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa makuu itabidi watueleze watatusafirisha na nini?

Wanapokula kichwa ndege zetu itabidi tuwawekee video za kina Heche ,Lema,Lisu wakitukana serikali iliyoshindwa kununua ndege

Watakaposema wachimbaji wadogo, bodaboda na mama ntilie wafukuzwe itabidi watueleze wanafanya haya kwa faida ya nani?

Watakapoamua zahanati na hospitali zote zilizojengwa na Magufuli zifungwe ,itabidi watueleze tutaenda kutibiwa wapi?

Watakaposema wamefuta elimu bure itabidi watueleze kodi zetu zinafanya kazi gani?

Watakaposema lazima watanzania millioni 60 wachanjwe, itabidi watueleze wao mpaka sasa
hawajachanjwa
Nyungu hawajapiga,
Hawajajifungia ndani wanaenda kazini kila siku
Mbona hawajafa na corona sasa?

Watakaohoji haya maelezo siyo Magufuli wala watoto wa Magufuli ni watanzania.

Anayedhani itakuwa rahisi kuuwa legacy ya Magufuli atakutana na nguvu ya uma.

Muda utaongea .
Hakuna anayehitaji kuuwa legacy ya mtu. Ni wasiwasi wako tuu.
Huwezi ukaongelea mafanikio tuu ukaacha mabaya au ambayo sio mafanikio.Kumbuka kote huko ni fedha zinazotokana na walipa kodi zimetumika.
Ili kwenda mbele ni lazima kujitathmini.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
 
Huu wala sio utetezi bali ni utoto. Hilo kundi lenu la watu msiojulikana naona limeishiwa nguvu saa hii mmepoteana. Katafuteni kazi ya halali, hiyo ya kuteka na kuuwa wapinzani kwa sasa haipo tena.
 
Wewe mtu unachekesha kweli au unatania tu? Unawezaje kuua legacy ambayo haijawahi kuwepo?! Katikati ya ukwapuaji wa kodi, ufisadi wa kutisha, vitisho na mauaji ya raia inawezekanaje kukawa na Legacy au mwenzetu neno legacy lina maana tofauti na yetu wengine?! Au unamaanisha legacy chafu?!
 
viongozi wote wa ccm wamebebwa na legacy ya MAGHUFULI sasa wanavyoanza kuponda kazi za raisi aliyepita wanajichimbia kaburi tena zito
Kwa hiyo na yeye alivyo kiwa anaponda kazi za wenzie alijichimbia kaburi? Na ndio hilo sasa limeenda naye
 
Kuna baadhi ya mambo kama Taifa tunatakiwa kuwa wakweli na saa ya kuwa wakweli ndiyo sasa.

Kipekee niseme kwamba, tusifikiri kwamba kuipaka matope miradi ya JPM ni kujiimarisha. La,hasha. Ni kuonesha udhaifu kwamba sisi hatuwezi kuendesha miradi hiyo. Ndiyo maana tunaanza kufikiri hata kuipotezea.

Kama yeye aliweza kugharimia na kuendesha miradi hiyo na mambo mengine yakaendelea kwa nini sisi tunaogopa mpaka tunaanza kutafutiza sababu za kuipotezea?

Je,tunataka tukubali kwamba JPM alikuwa na uwezo wa pekee wa kukusanya kodi zilizotumika kwenye miradi hiyo na sisi hatuna uwezo huo?

Kama ni kweli kulikuwa na ufisadi katika miradi hiyo, na bado iliendelea kujengwa, hatuoni kwamba kwa sasa miradi itajengwa haraka zaidi kwa kuwa tutakuwa tumedhibiti ufisadi uliokuwepo?

Kumbukeni ndugu zangu hasa watendaji wa serikali, tunapoonesha udhaifu wa kutaka kuipotezea hiyo miradi ya JPM, Wananchi huku mitaani wanaikumbuka ile kauli aliyoisema"Nikiondoka mimi kuna mtu ataweza kujenga hii miradi?

NB:-Kamwe tusifikiri kwamba kwa kuipotezea miradi ya JPM ni kuitupilia mbali Legacy yake, La hasha, hapo ni kumpa UMAARUFU zaidi ya uliopo sasa.

Nawasilisha.
 
Mbona kama unataka kulia mkuu😀

Relax mzee!!!

Zama zinabadilika tena kwa kasi sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ni dhahiri kwamba JPM ameacha legacy kubwa ambayo haijawahi kufikiwa na kiongozi Tanzania. Sikatai kwamba JPM alikuwa na mapungufu.

Legacy aliyoaicha Magufuli imekuwa changamoto kwa viongozi waliyomtangulia lakini pia waliomfuatia. Waliomtangulia ni kama vile imekuwa fedheha kwao kwa maana matendo ya Magufuli yalifungua macho watanzania kwamba kumbe kuna viongozi hawakuwajibika ipasavyo.

Lakini kwa upande mwingine ni mtihani mgumu sana kwa viongozi waliopo sana kwa yaliyofanywa na JPM inahitajika kiongozi mwenye moyo wa uthubutu kuyaendeleza.

Watu wamejipima na kuona kwamba ni kazi sana. Na pengine watakuwa hawana credibility.

Kilichobaki sasa kuchafua legacy ili kuonyesha kuwa yaliyokuwa yakifanywa na magufuli ni upuuzi tu na haupaswi kuendelezwa.

Inanifikirisha sana kuona Prof anapinga mradi HEP? Eti umeme wa HEP utatuchelewesha. Taifa ili kuweza kuwa na uchumi wa viwanda lazima pawepo na umeme wa uhakika na nafuu. Uhakika wa umeme JNHP ni kwamba kutakuwa na bwawa kubwa ambalo litahakikisha kuwepo na maji ya kusukuma mitambo kwa muda wote ambapo mvua hazitakuwepo. Lakini unafuu wa umeme wa nguvu za maji ni kwamba hakuna nishati inayotumika zaidi ya maporomoko ya maji. Umeme unaotumia nishati kama gesi, petroleum, coal nk ni gharama kwa sababu kuu mbili mosi kwa ajili nishati husika ya kuendesha mitambo ya kufua umeme na pili mitambo kuhitaji matengenezo ya mara kwa kwa mara kutokana na joto. Kwa maana hiyo gharama huo umeme utakuwa juu tu.
Ajabu Professor mbobezi leo anataka tuamini kwa ujenzi wa mradi huo ni upuuzi.

Professor huyu huyu ni mojawapo wa walioshindwa kutuletea suluhisho la tatizo la umeme matokeo wakaishia kuliingiza taifa katika gharama kwa kuingia mikataba ya kitapeli.

Jambo jingine ni Bandari ya Bagamoyo, spika wa Bunge tunaona anataka kutuaminisha kuwa JPM hakushauriwa vizuri. Ndugai enzi za Magufuli aliwahi kukiri kwamba hakujua masharti ya mkataba huo. Sasa kama ameyajua kwa nini asiyeweke bayana? Tunajua umuhimu wa bandari ya Bagamoyo lakini hatuwezi kukubaliana na masharti yasiyo na manufaa kwa taifa letu. Ndugai kama mna hoja ya kutetea Bandari ya Bagamoyo mkataba uwekwe wazi. JPM alituambia masharti ya mkataba tukakubaliana naye kama ninyi mna mkataba wenye masharti tofauti na yaliyoainishwa na JPM uwekeni bayana. Vinginevyo Bandari Bagamoyo haipaswi kabisa kuongelewa.

Yapo mengi nitaendelea lakini kwa sasa naweka kituo.
 
Kuna baadhi ya mambo kama Taifa tunatakiwa kuwa wakweli na saa ya kuwa wakweli ndiyo sasa.
Kipekee niseme kwamba, tusifikiri kwamba kuipaka matope miradi ya JPM ni kujiimarisha. La,hasha. Ni kuonesha udhaifu kwamba sisi hatuwezi kuendesha miradi hiyo. Ndiyo maana tunaanza kufikiri hata kuipotezea.

Kama yeye aliweza kugharimia na kuendesha miradi hiyo na mambo mengine yakaendelea kwa nini sisi tunaogopa mpaka tunaanza kutafutiza sababu za kuipotezea?

Je,tunataka tukubali kwamba JPM alikuwa na uwezo wa pekee wa kukusanya kodi zilizotumika kwenye miradi hiyo na sisi hatuna uwezo huo?

Kama ni kweli kulikuwa na ufisadi katika miradi hiyo, na bado iliendelea kujengwa, hatuoni kwamba kwa sasa miradi itajengwa haraka zaidi kwa kuwa tutakuwa tumedhibiti ufisadi uliokuwepo?

Kumbukeni ndugu zangu hasa watendaji wa serikali, tunapoonesha udhaifu wa kutaka kuipotezea hiyo miradi ya JPM, Wananchi huku mitaani wanaikumbuka ile kauli aliyoisema"Nikiondoka mimi kuna mtu ataweza kujenga hii miradi?

NB:-Kamwe tusifikiri kwamba kwa kuipotezea miradi ya JPM ni kuitupilia mbali Legacy yake, La hasha, hapo ni kumpa UMAARUFU zaidi ya uliopo sasa.
Nawasilisha.
MKUU,
HAWA WANAFIKI WATAUMBUKA TU, TIME WILL TELL. WATU TUNAJIULIZA, KWENYE OFISI YA MAKAMU WA RAISI KULIKUWA 100% free from yanayoongelewa? Ndo utajua unafiki wa hii report na watu waliomo nyuma yake.
 
Kuna baadhi ya mambo kama Taifa tunatakiwa kuwa wakweli na saa ya kuwa wakweli ndiyo sasa.
Kipekee niseme kwamba, tusifikiri kwamba kuipaka matope miradi ya JPM ni kujiimarisha. La,hasha. Ni kuonesha udhaifu kwamba sisi hatuwezi kuendesha miradi hiyo. Ndiyo maana tunaanza kufikiri hata kuipotezea.

Kama yeye aliweza kugharimia na kuendesha miradi hiyo na mambo mengine yakaendelea kwa nini sisi tunaogopa mpaka tunaanza kutafutiza sababu za kuipotezea?

Je,tunataka tukubali kwamba JPM alikuwa na uwezo wa pekee wa kukusanya kodi zilizotumika kwenye miradi hiyo na sisi hatuna uwezo huo?

Kama ni kweli kulikuwa na ufisadi katika miradi hiyo, na bado iliendelea kujengwa, hatuoni kwamba kwa sasa miradi itajengwa haraka zaidi kwa kuwa tutakuwa tumedhibiti ufisadi uliokuwepo?

Kumbukeni ndugu zangu hasa watendaji wa serikali, tunapoonesha udhaifu wa kutaka kuipotezea hiyo miradi ya JPM, Wananchi huku mitaani wanaikumbuka ile kauli aliyoisema"Nikiondoka mimi kuna mtu ataweza kujenga hii miradi?

NB:-Kamwe tusifikiri kwamba kwa kuipotezea miradi ya JPM ni kuitupilia mbali Legacy yake, La hasha, hapo ni kumpa UMAARUFU zaidi ya uliopo sasa.
Nawasilisha.
Taifa la mihemko.
Taifa la matamko
Katiba ya 1977 is outdated.
Nani leo ana nguo ya Mwaka 1977?
 
Tulia hivyo hivyo chanjo ikuingie mkuu,wala hutakiwi ku-panic.
 
Back
Top Bottom