Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,956
- 6,731
Mkuu Nayakumbuka maovu yake yote,Najua huko alipo anavuna lakini kwa mustakabali wa nchi yetu lazima tukatae hiki kinachoendelea cha kutaka kumtumia yeye kama kafara wakati ukweli tatizo letu ni mfumoEti tumtetee
Unakumbuka kejeli zake
Unakumbuka kelele zake
Matusi yake je
Acha tuchezewe
Lakini si shetani yule
Alitunanga na Tambo zote
Kwa yote yake makeke
Hakika tulitosheka
Acha tupumzike
Kwa vyote vigezo
Mama ametupa vigelegele
Acheni apumzike
Huko mahali pake
Mwendazake ni mwendazake!