Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,926
- 3,054
So what?Mna roho ngumu. Anyway, ni dunia ya wanawake. Akina Halima hivi sasa ndiyo wenye nguvu ndani ya chama chenu. Watatoa utaratibu wa matumizi ya ruzuku
So what?Mna roho ngumu. Anyway, ni dunia ya wanawake. Akina Halima hivi sasa ndiyo wenye nguvu ndani ya chama chenu. Watatoa utaratibu wa matumizi ya ruzuku
Watuhumiwa walikata rufaa, kikao kilichotakiwa kujadili na kuamua rufaa yao mpaka leo hakijakaa.Hivi hili azimia lilifikiaga wapi???
Au ndio ule mchezo wa tega nikutege🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hili ndio nilikua najiuliza na kumuuliza 😳😳😳😳Watuhumiwa walikata rufaa, kikao kilichotakiwa kujadili na kuamua rufaa yao mpaka leo hakijakaa.
Within three months after their appeal.hili ndio nilikua najiuliza na kumuuliza 😳😳😳😳
Walitakiwa kusikilizwa baada muda gani? Na taratibu za bunge zikoje kwa hilo?
Chadema buana😎😎
Within three months after their appeal.