Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Ni sawa na Kusema umetengena na Mkeo kwa Kutokulala nae ila bado unaendelea Kukaa ( Kuishi ) nae Kwao na Kumuhudumia je. nani ni Juha?
Lol... Wametengana vyumba lakini wanaishi nyumba moja. Anyway, nchi yetu ni moja, hatujui kapewa maelekezo gani na wakuu wa nchi. Kumtoa mtuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumu aliyekaa gerezani miezi 6 na kwenda kuapishwa kuwa mbunge si kazi ambayo mimi na wewe tunaiweza. Tumpe pumzi mzee wa Faru John, maisha yaendelee. This is our country.
 
Nasikitika kuwa JPM amefanikiwa kuuzika upinzani rasmi mwaka 2020. Kwa picha hili maana yake CDM wanapitia mgogoro ndani ya chama na nje ya chama pia.
 
Mbona wanawapa options tena , yaani msaliti unampa options ya kuomba radhi
dudes got no balls
 
Mwamba umetuvusha tena
 
Mission accomplished, huo mtifuano ndani ya 5 years, CCM tu tena 85% plus ushindi hapo 2025.
 
Sisi chadema ni matajiri hatutangulizi matumbo kwisha habari yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…