Mwaka huu maroli yatafanya kazi sana kupeleka watu kwenye mikutano ya ccm kuliko wakati mwingine wowote ule
We jidanganye tu, nani hapendi kumwona JPM? Kila sehem anazuiwa kuongea na wananchi. Miradi yake inamsemea
 
Utawala wa JPM hata wakenya wamepunguza chokochoko zao, wakibip tunapiga tu. Mitano mingine tukuze pato hadi 1,300usd
KWA LIPI JEMA HILI LA KUSOMESHWA NAMBA HAKUNA MTZ MWENYE AKILI TIMAMU ATAKUNYWA POMBE TENA MATESO YOOTE SASA TOSHA
 
KWA LIPI JEMA HILI LA KUSOMESHWA NAMBA HAKUNA MTZ MWENYE AKILI TIMAMU ATAKUNYWA POMBE TENA MATESO YOOTE SASA TOSHA
We umesoma namba gani? Vyeti feki na kufanya kazi kwa majungu ukienguliwa magufuri mbaya? Heshima ya utumishi lzm irudi na imerudi
 
Lazima ina matatizo ya akili. Siyo bure. Sisi bado sana, hatuna uwezo wa kushindana nao.

Wakitaka, hata hako kasimu kako kanageuka kuwa kopo. Hakawezi kupata hata signal. Wakitaka hutaweza kusafiri hata kwenda kokote maana hakuna gari hata moja linalotengenezwa na nchi zetu hizi. Hata hutu tundege twetu wakitaka hatuwezi kuruka kwenda popote, hata ndani ya nchi.

Tunatakiwa kusonga mbele tukiwa tumeshikamana na Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu need Tanzania and Africa more than Tanzania and Africa need them. You need to reset your mind my friend. We are a rich country but they set our minds to think that we are very poor and that we cannot survive in this planet without their support.

Hawa wazungu waliligombania bara letu la Africa miaka hiyo ya 1880s: iliitwa Scramble for Africa. Wakagawana maeneo na kuyafanya makoloni yao ili kupora mali zake kwenda kuendeleza nchi zao (kitendo kinachoitwa ubeberu). Uhuru waliotoa miaka ya 1960s ulikuwa ni wa bendera tu kwani waliendelea kupora mali zetu kwa mbinu zingine (neocolonism) wakishirikiana na wazawa wasiokuwa wazalendo hususani akina Lissu na Zitto.

Malighafi za viwanda vyao wanazipata Afrika, Uarabuni na Asia tu. Kwao haziko. Hata hizo smart phones malighafi ( madini fulani) yake inapatikana Afrika tu na Tanzania tunayo kibao.
 
maendeleo ya watu na sio vitu
Kama yapi? Msikalili nyie watu na hao akina zitto wanaofanya mikutano bila barakoa wakati walitaka nchi ifungwe ili wao wapate neema. Mbona hawafi sasa na barakoa wala social distance hawafuati?

Unataka maendelea gani ya watu ambayo yamekosekana?
 
We umesoma namba gani? Vyeti feki na kufanya kazi kwa majungu ukienguliwa magufuri mbaya? Heshima ya utumishi lzm irudi na imerudi
vyeti feki kwa dabo standard,bashite ,majeshini mbona wamebaki,kinachofanya kazi ni cheti au brain ya mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom