Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tuchel: "Tutajenga timu ambayo hakuna atakayetaka kucheza dhidi yake"
Haya ni maono na sasa naona yanaelekea kutimia




















Tuchel: "Tutajenga timu ambayo hakuna atakayetaka kucheza dhidi yake"
Haya ni maono na sasa naona yanaelekea kutimia




















Wote hawa mmepigwa?Raheem Sterling - £49million
Kalidou Koulibaly - £34million
Marc Cucurella - £55million
Carney Chukwuemeka - £20million
Gabriel Slonina - £10million
Summer transfer budget = £300million
Total amount spent = £168million
Amount remaining = £132million
A lot more to spend!
Uliona mbali ,hapa za uso walipigwaCucurella mmepigwa mazeeeet 55 million + ....
Huyo ni average LB ambaye price yake haitakiwi kuzidi £million 30 hata Brighton wamemchukua kutoka getafe chini ya £20 million
Tumekutana nae,hakuna mchezaji hapoMtakutana nae huyo ndio utajua ni panic buy au sio
Koloboi beki mzee kashachokaSema ulikuwa umfuatilii ni kama sasa koulibaly ni top best defender watu hawamuweki kwenye hiyo level kwasababu hawafatilii ligi ya Italy na team aliyochezea Napoli lakini baada ya kuja team yetu ile level aliyoonesha Napoli akaipaste hapa Chelsea utaona atavyoanza kusifiwa
Mkuu Pain killer Cucurella amekuwa mchezaji Bora wa msimu wa club ya Brighton kwa kura za mashabiki lakini pia kwa kura za wachezaji wenzake wa timu isitoshe ameonesha ubora dhidi ya team kubwa zote za epl amekichafua utasemaje ni mchezaji wa kawaida?













Wenzio walikupinga Sana,Mi mwenyewe nashangaa huyu Fofana ni wakawaida sana, hat Ake, huwa anarukaruka tu uwanjani na zile nywele, tena yeye ndio sababu juzi city wametobolewa kwenye ngao ya hisani.
Nikiwa napita pita humu kuchora nini chelshit mnawaza nimegungua mna mawazo mgando sana na sio watu wakupekua habari.
Yani mmetuliza kende zenu hapo darajani mkiwa mna mawazo kabisa eti de jong anakuja darajaninimebaki kuwaonea huruma tu maana amjui lolote kuhusu swala la De jong.
Naona kuna takataka zinasema eti de jong apendi kwenda manyumbu sababu imepoteza mvuto aipo na uefa nimecheka sana
Sijui ni wasanue sijui nikae kimya tu kuhusu swala la de jong mbaki mnajazana mafi tu kwenye ubongo![]()






Hadi wakati huu mambo yamekua kinyumeOyaa Chelsea ..Huu msimu wetu Shusha vyuma hapo kazi ianze weekend hii tuzibue watu mitaro.
#CFC![]()





Make Kwanza nichekeAke akija pale arsenyeto hawezi kuwekwa benchi na vikina gabriel na cjui Ben mweupe ...Tuchel naona kampenda kwasababu ya versatility yake anaweza akakichafua hata leftback... sterling na kosakosa zake za magoli kuna arsenal player gani WA sahv anaweza akamatch numbers zake?![]()
Hahaaaa hivi ana goli ngapi Hadi Sasa huyu jamaaUzuri wa Sterling anajua kutengeneza nafasi za kufunga na pia ni winger mfungaji.
A honest opinion.Wapiga ramli
Sijui uchawi mtaacha lini
walikutukana walikukebehi ,Sasa hivi maneno yako yanatimiaTatizo la Sterling ni moja tu ,anahitaji kumtengenezea nafasi nyingi kufunga goli moja....
Na ni kawaida yake kupoteza big chance one vs one na goalkeeper,japo hili ni kawaida kwa wachezaji .....
So hakikisheni mnamtengenezea chance nyingi sana ....vinginevyo mtakuja kutukana humh matusi ya Kila aina ...
Ni mtu wa kudive sana ,anajua kukokota mpira ndani ya box na kujigongesha kwa miguu ya madefender ,kashatengeneza panalt za namna hio nyingi sana city ..
Sterling ni mzuri kwa team inayopossess mpira kwani counter attack nying haziwezi ,anapoza mashambulizi sana ,japo Mara moja moja akipata kiungo mbunifa wa kupiga penetration pass Kama kdb huwa anafanya maajabu Kwan , penetration pass nyingi huwa anajikuta yupo na one vs one na goalkeeper hivyo kumalizia tu ..
Kupoteza poteza mpira kwa kulazimisha chenga ambazo sio za msingi ni kawaida yake Sterling ....
Sterling ni LW ,anakiwa one Vs one na defender akiwa upande wa left Basi huwa anajua kumgeuza na kupiga cave ...
Mbaya zaidi unakuta anakosa chance muda ambao team imelemewa hatari ,....!
Sitasahau uefa dhid ya Lyon ,tulipofungwa 3-1 ...!!
Eeeh Cheka vzuri ...Kwan ukiacha Sanchez kuna player gani WA sahv hao kina saka n martinelli wamefikisha goli 18 pale EPL ?Make Kwanza nicheke

Kwahyo n WA Chelsea Tu ...Afun nyie wakwenu n timu zingine wanakuwa perfect hawapati injury?....ukisikia dalili za mtu kuwa mchawi ndo hiziChelsea Hawa wachezaji mliopeleka world cup Nusu wanarudi injury
Mtatafutana humu

Huo ni msiba, hawatakuelewa sasa hivi, ila wakikumbwa na majeruhi watakumbuka maandishi hayaA honest opinion.
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini msimu huu Arsenal atachukua ubingwa though form yenu ya sasa ni nzuri ila swala la ubingwa bado hamjawa qualifiedView attachment 2422885
Angalia huu msimamo katika wakati kama huu hiyo ilikua msimu uliopita kilichotokea unakijua omba usipate majeruhi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app