juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Kama ni mkopo itakuwa fresh, ila sio permanent.
Ningependelea zaidi Depay kwa aina ya uchezaj wetu,
Or tuwait tuappoint DOF then winter or summer tutafute kwakutulia
Kama ni mkopo itakuwa fresh, ila sio permanent.
Huu ukitokea watu wataliaHakuna usajili nausubir kw hamu km wa De jong.

n itakuwa kama njia ya kuepuka yale ya Auba akichukuliwa ni mkataba mfupi kwa sababu ni kutatua shida ya striker ya short term. Auba kwa mech 17 kafunga 11, Depay kwa mechi 28 kafunga 12Kama ni mkopo itakuwa fresh, ila sio permanent.
Ningependelea zaidi Depay kwa aina ya uchezaj wetu,
Or tuwait tuappoint DOF then winter or summer tutafute kwakutulia
Depay, Xavi hamtakiAuba akichukuliwa ni mkataba mfupi kwa sababu ni kutatua shida ya striker ya short term. Auba kwa mech 17 kafunga 11, Depay kwa mechi 28 kafunga 12
Hivi dili letu na Cucurella ikoje? Mbona kimyaSio mbaya akabaki wakati tunaendelea kutafuta mbadala sahihi wa James.
Nadhani dirisha kubwa la usajili 2023, Alzip atauzwa na Tutapata chochote kitu.
Pia mashabiki sasa tunatulia kwa amani tukijua akili yake imerudi darajani maana ilishaondokaSio mbaya akabaki wakati tunaendelea kutafuta mbadala sahihi wa James.
Nadhani dirisha kubwa la usajili 2023, Alzip atauzwa na Tutapata chochote kitu.
Colwill, Ampadu, Kenedy, Gilmour, Barkley and Batshuayi wote hawa hawakupewa namba na nadhani hawako kwenye plans za Tuchel aidha mkopo au kuuzwa itawahusu