Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

A honest opinion.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini msimu huu Arsenal atachukua ubingwa though form yenu ya sasa ni nzuri ila swala la ubingwa bado hamjawa qualifiedView attachment 2422885
Angalia huu msimamo katika wakati kama huu hiyo ilikua msimu uliopita kilichotokea unakijua omba usipate majeruhi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unafananisha na hii timu ambayo magoli walikuwa wanafunga mabeki?

,

Hili timu si ndio Lukaku alikuwa anagusa mpira mara 8?

Magoli wanafunga mabeki,

Kuna mechi hata on target ilikuwa haipati

HII TIMU ILIKUWA HAINA SIFA ZA UBINGWA ....
 
Huo ni msiba, hawatakuelewa sasa hivi, ila wakikumbwa na majeruhi watakumbuka maandishi haya
Tushakuzoea ulidai kwa usajiri huu wa £300m , mtasumbua Sana msimu huu

Matokeo yake mmekuwa Kama Burney ya Sean Dyche
 
A honest opinion.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini msimu huu Arsenal atachukua ubingwa though form yenu ya sasa ni nzuri ila swala la ubingwa bado hamjawa qualifiedView attachment 2422885
Angalia huu msimamo katika wakati kama huu hiyo ilikua msimu uliopita kilichotokea unakijua omba usipate majeruhi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal sio Chelsea, sikatai kuna wachezaji wawili watatu wakiumia inaweza kuleta shida kidogo, kilichowaponza Chelsea ni kwamba system aliyotumia Tuchel 343 ilitegemea zaidi individual quality, mnavyoattack mnakuwa na watu watano mbele ila wawili ni wing backs na watatu ndio natural attackers kuna kitu kinamiss hapo timu inahitaji kuwa clinical enough to kill games, Arteta ana 433 elite positional play anatumia 5 pure attackers, Jesus,Ø,saka,Nelli,xhaka. Hatutegemei individual quality ni system inaflow yenyewe anatoka Saka anaingia Nelson bado Forest anakufa 5-0, au hukuona bruv? Mikel Arteta is so good.
 
Hawawezi kukuelewa , maana wamezoea 3-4-3
 
Ake akija pale arsenyeto hawezi kuwekwa benchi na vikina gabriel na cjui Ben mweupe ...Tuchel naona kampenda kwasababu ya versatility yake anaweza akakichafua hata leftback... sterling na kosakosa zake za magoli kuna arsenal player gani WA sahv anaweza akamatch numbers zake?
Sterling si afadhali kibu Denis?
 
Kulingana na sajili zinazofanywa katika ligi pendwa ya EPL mpaka sasa nafasi ya kwanza ya pili na tatu tayari zimeshajazwa na Man City, Liver na Tot kilichobaki sisi tunapambania nafasi ya 4 kushuka chini.

Tunahitaji matured CB hata mmoja, kiungo mzalishaji na aggressive forward. Ukiangalia sokoni kwa hali ilivyo kumchukua Kounde sasa ivi ni very risk bora angekuwepo Rudiger ndio wacheze wote ni afadhali hata Kimpembe. Ukija kwa foward karibia wote wazuri washakua occupied.

Msimu ujao kama tusipomaliza nafasi ya sita na kutolewa group stage. Sijui
Mpiga ramli
 
Umeona vyema. Usajili unaowekewa maanani ni wa Dembele, Kounde na replacement ya Kepa. Maeneo muhimu kama ya kiungo mpikaji wa magoli na agressive striker au forward hakuna kabisa. Sijui usajili wa akina werner, Lukaku, Ziyech umewapa woga wa kukurupuka. Waliobaki wazuri kwa mbele ni Nkunku. Kiungo mpikaji wa magoli hawapo sijui tunaenda wapi. Labda watakaotubakiza nafasi ya nne ni hao akina Arsenal na Manure maana nao wameishiwa sera kama sisi
Make Kwanza nicheke
 
Arsenal sio Chelsea, sikatai kuna wachezaji wawili watatu wakiumia inaweza kuleta shida kidogo, kilichowaponza Chelsea ni kwamba system aliyotumia Tuchel 343 ilitegemea zaidi individual quality, mnavyoattack mnakuwa na watu watano mbele ila wawili ni wing backs na watatu ndio natural attackers kuna kitu kinamiss hapo timu inahitaji kuwa clinical enough to kill games, Arteta ana 433 elite positional play anatumia 5 pure attackers, Jesus,Ø,saka,Nelli,xhaka. Hatutegemei individual quality ni system inaflow yenyewe anatoka Saka anaingia Nelson bado Forest anakufa 5-0, au hukuona bruv? Mikel Arteta is so good.
Utasifia mifumo wee lakini usisahau wachezaji ndio wanatengeneza mfumo sasa kama itatokea mchezaji mmoja au wawili mpaka watatu hawapo hapo ndio utaelewa nachomaanisha

Hata hivyo mimi nimetoa tahadhari tu. Naona mmejaa humu mnafukua makaburi yan utafikiri mshachukua ubingwa

Hata hili tutakuja kufukua ,endelea kufanya ushirikina
 
Hamtaki kusikia ukweli halafu mnaukataa ukweli kwa lugha nyepesi eti tunafanya ushirikina.

Haya basi nyie ni mabingwa wa EPL huu msimu wa 22/23. Jamani pongezi nyingi kwa Arsenyeto kwa kubeba ubingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitia kidole halafu unanusa

Tuliwaambia humu , ushindi wenu utakuwa 1-0,1-1,2-1,0-0, au kuchezea vipigo

Now hata Newcastle hamumuwezi,

Ila kutwa kupiga ramli Kuhusu Arsenal

Tutafukua makaburi yenu humu ya unafiki na ushirikina

Mara oho mtabeba ubingwa ,Sasa hivi mkikaa vibaya mnapekekwa nafasi za 12
 
Mkuu tuwaache tu watambe. Muda utasema

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda unasema hata Sasa

Juzi hapa tuliwabonda 4-0 Preseason mkasema tumebahatisha, Sasa hivi mkatamba tumewazabua kwenu mnasingizia eti majeruhi

Kwa huyu Harry Potter mjiandae kupambana na kina Astonvilla maana hata Newcastle hamumuwezi kumtoa
IMG_20221106_061907.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom