Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,643
- 2,384
Habari za de jong kwenda Chelsea ni rumours tayari huyo Mchezaji kashakubali kuungana na bosi wake wa zamani Ten hag kinachofanya hadi sahiv kicheleweshe deal ni kuwa de jong anaidai Barca anahitaji alipwe kabla hajaama mana akiondoka anahesabika siyo tena Mchezaji wa Barca hivyo hatolipwa inakisiwa ni kiasi cha 20 euro
anachowadai barca hayo ni makato ya kipindi kile cha coronavirus au covid 19
anachowadai barca hayo ni makato ya kipindi kile cha coronavirus au covid 19

