peter mwakyeja
Member
- Sep 4, 2022
- 54
- 88
Sasa kwani Gabriel Jesus kamzidi nn anuary jabir WA kagera sugar[emoji23]Sterling si afadhali kibu Denis?
Ubingwa WA kudanga [emoji16]Hamtaki kusikia ukweli halafu mnaukataa ukweli kwa lugha nyepesi eti tunafanya ushirikina.
Haya basi nyie ni mabingwa wa EPL huu msimu wa 22/23. Jamani pongezi nyingi kwa Arsenyeto kwa kubeba ubingwa[emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kwani Gabriel Jesus kamzidi nn anuary jabir WA kagera sugar[emoji23]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Compare points mlizokua nazo na alizonazo arsenal kwa sasaA honest opinion.
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini msimu huu Arsenal atachukua ubingwa though form yenu ya sasa ni nzuri ila swala la ubingwa bado hamjawa qualifiedView attachment 2422885
Angalia huu msimamo katika wakati kama huu hiyo ilikua msimu uliopita kilichotokea unakijua omba usipate majeruhi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji akipata redcard ndo tafsiri kwamba timu iliyouziwa imepigwa?[emoji23][emoji23][emoji23]......uchawi mbaya Sana.... Nakukumbusha Tu pmj na redcard zake huyo ameshashinda tuzo ya beki Bora serie A, ameingia kwenye vikosi vya msimu serie A km mara 4 tiyari....huu wanaopitia yeye n Cucurella ni upepo mbaya Tu ...[emoji382]MOJA YA SAJIRI ZA KITAPELI TULIZOPIGWA ZA USO
Cucurella na Koulibaly wamenunuliwa kwa jumla ya €103million.
[emoji381]Kama unafikiri ile Redcard za koulibaly mwenye miaka 31 ni bahati mbaya naomba niwakumbushe ni rasmi sasa toka mwaka 2017 koulibaly ndo mchezaji aliepata redcard nyingi kuliko wachezaji wote wanaocheza ligi 5 bora za Ulaya ana redcard 6, 5 kapata Napol 1 Chelsea, toka mwaka 2017 hakuna mchezaji yeyoye wa Epl,Seria A,League 1,Laliga au Bundelsiga anaemkuta kwa redcard.
[emoji382]Na kama unafikiri chelsea imekamilika na inapoteza point kwa bahati mbaya naomba pia nikukumbushe Baada ya kipigo cha jana ni rasmi sasa toka mwaka 2022 uanze chelsea tumepata point chache Epl kuliko Newcastle united, Chelsea tuna point 36 na Newcastle wana point 44, na hata kule kwetu London sisi bado tuko chini Arsenal ana point 43 na Spurs 48.
Nasema uongo ndugu zangu? Basi mniombee.
Sawa mabingwa wa EPL 22/23Unajitia kidole halafu unanusa
Tuliwaambia humu , ushindi wenu utakuwa 1-0,1-1,2-1,0-0, au kuchezea vipigo
Now hata Newcastle hamumuwezi,
Ila kutwa kupiga ramli Kuhusu Arsenal
Tutafukua makaburi yenu humu ya unafiki na ushirikina [emoji1787][emoji1787]
Mara oho mtabeba ubingwa [emoji1787] ,Sasa hivi mkikaa vibaya mnapekekwa nafasi za 12
Injury ya lini hadi lini? weka hapoHivi watu wanaodai Arsenal haijapata majeruhi wanaangalia na kufatilia kweli mpira?
1. Tierney
2. Zinchenko
3. Tomiyasu
4. Partey
5. Ødegaard
6. ESR
Hao hawakua na injuries au injuries ni mpaka timu yote wachezaji wavunjike nyonga?
Elewa nilichomaanisha achana na pointCompare points mlizokua nazo na alizonazo arsenal kwa sasa
Endelea kupiga ramli kenge wewe,tutafukua makaburi yenu muache ujinga
Huna timu ,kaa kwa kutuliaNyie mashabiki wa Asenyeto mmelifanya hili jukwaa la kwenu kisa chelsea ipo vibaya
Jitahidini mchukue Uefa hata mara mbili ndio tutakuwa level sawa
Sasahivi nyie level yenu ni spurs huko kuongoza ligi sio kuchukua ubingwa
Ndio ujue Hawa mashabiki wengi humu hawajui na hawafatilii mpiraHivi watu wanaodai Arsenal haijapata majeruhi wanaangalia na kufatilia kweli mpira?
1. Tierney
2. Zinchenko
3. Tomiyasu
4. Partey
5. Ødegaard
6. ESR
Hao hawakua na injuries au injuries ni mpaka timu yote wachezaji wavunjike nyonga?
Koloboi na kukulera mmepigwaMchezaji akipata redcard ndo tafsiri kwamba timu iliyouziwa imepigwa?[emoji23][emoji23][emoji23]......uchawi mbaya Sana.... Nakukumbusha Tu pmj na redcard zake huyo ameshashinda tuzo ya beki Bora serie A, ameingia kwenye vikosi vya msimu serie A km mara 4 tiyari....huu wanaopitia yeye n Cucurella ni upepo mbaya Tu ...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hizo injury Kuna had za miez 4,5, 1 ,2Injury ya lini hadi lini? weka hapo