🤣🤣🤣🤣🤣Cr7 si anataka changamoto basi aende Chelsea akavae jezi namba 9. Hiyo ni changamoto kubwa sana kwake
🤣🤣🤣🤣🤣Cr7 si anataka changamoto basi aende Chelsea akavae jezi namba 9. Hiyo ni changamoto kubwa sana kwake
Umesahau kutaja sifa zingine alizonazo ndio maana Tuchel amevutiwa nae kumsajili Sterling anajua kulazimisha, ni mchezaji ambaye ni mzuri akiwa na asipo kuwa na mpira, work rate yake uwanjani ni kubwa mno na ni mzuri pia kufanya pressingTatizo la Sterling ni moja tu ,anahitaji kumtengenezea nafasi nyingi kufunga goli moja....
Na ni kawaida yake kupoteza big chance one vs one na goalkeeper,japo hili ni kawaida kwa wachezaji .....
So hakikisheni mnamtengenezea chance nyingi sana ....vinginevyo mtakuja kutukana humh matusi ya Kila aina ...
Ni mtu wa kudive sana ,anajua kukokota mpira ndani ya box na kujigongesha kwa miguu ya madefender ,kashatengeneza panalt za namna hio nyingi sana city ..
Sterling ni mzuri kwa team inayopossess mpira kwani counter attack nying haziwezi ,anapoza mashambulizi sana ,japo Mara moja moja akipata kiungo mbunifa wa kupiga penetration pass Kama kdb huwa anafanya maajabu Kwan , penetration pass nyingi huwa anajikuta yupo na one vs one na goalkeeper hivyo kumalizia tu ..
Kupoteza poteza mpira kwa kulazimisha chenga ambazo sio za msingi ni kawaida yake Sterling ....
Sterling ni LW ,anakiwa one Vs one na defender akiwa upande wa left Basi huwa anajua kumgeuza na kupiga cave ...
Mbaya zaidi unakuta anakosa chance muda ambao team imelemewa hatari ,....!
Sitasahau uefa dhid ya Lyon ,tulipofungwa 3-1 ...!!
Yaan anajua kuforce kuingia ndani ya box...Umesahau kutaka sifa zingine alizonazo ndio maana Tuchel amevutiwa nae kumsajili Sterling anajua kulazimisha, ni mchezaji ambaye ni mzuri akiwa na asipo kuwa na mpira, work rate yake uwanjani ni kubwa mno na ni mzuri pia kufanya pressing
Mbona umejibu kama vile nimeongea uongoYaan anajua kuforce kuingia ndani ya box...
Utakufa mapema kwa sababu ya wivu kali uliyo nayo dhidi ya mafanikio ya ChelseaMost of Chelsea players Ni kwenda Barca
Bado Alonso ,
Huenda mkaanza Ligi na kina malang Sarr🤣🤣🤣
Imagine shabiki wa Arse888 ndio anaandika hivi hahahahaha .........CHELSEA Ni daraja tu la wachezaji kupita ,kwenda kutimiza ndoto zao
📸| Andreas Christensen's writing on a piece of paper back in 2004, which reads "I dream about being a professional footballer and playing for FC Barcelona." #fcblive 💙❤
Sasa si barca wao wahuni sisi tunanunua wao.De Jong anaitaka Chelsea zaidi ya United
According to Spanish outlet Relevo, De Jong is said to prefer a move to Stamford Bridge over Old Trafford now that the Blues have informed Barcelona of their interest. Chelsea are believed to be confident in their mission to sign the Dutchman, with Champions League qualification playing a key factor.
Badala ya Raphinha chelsea ingemchukua huyu De Jong
Most of Chelsea players Ni kwenda Barca
Bado Alonso ,
Huenda mkaanza Ligi na kina malang Sarr![]()
Aaah wapi labda umewaza vingine ,..!Mbona umejibu kama vile nimeongea uongo
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani mkuu ukipambana na timu yako kuna shida gani
De jong ni mtu na nusu ataenda kumchukua namba kwa jorginho unajua Chelsea haina mtu Kwenye nafasi ya number 6 na ndio maana anafosiwa kucheza RLC huyo jamaa atakuwa replacement sahihi ya jorginho na utasaidia jorginho kutocheza mechi nyingiDe Jong anaitaka Chelsea zaidi ya United
According to Spanish outlet Relevo, De Jong is said to prefer a move to Stamford Bridge over Old Trafford now that the Blues have informed Barcelona of their interest. Chelsea are believed to be confident in their mission to sign the Dutchman, with Champions League qualification playing a key factor.
Badala ya Raphinha chelsea ingemchukua huyu De Jong
Shev alitakiwa kuja na Pirlo darajani!Muda bado mkuu kuna mwezi mzima hopeful watasort out....Kiukweli binafsi Mikakati ya bwana boehly naielewa Sana hasa kitendo cha kocha kupewa mamlaka ya mchezaji anayemtaka..lkn. Pia kusajili Kwa kufanya analysis na si zile sajili za hype na pesa mingi Tu na kuishia kupigwa ..maana Chelsea tumekuwa wahanga wakubwa na sajili za pesa mingi Afu haziclick
kuanzia kina shevchenko...

#CFC