Anaenda kuleta Arteta ndani ya misimu miwili hii, alipofika Arsenal aliahidiDah ila huyu mzee miaka yote Arse8 ameshindwa kubeba Europa wala UCL
Dah duniani hakuna haki, haki iko mbinguni
Unatusingizia tu Arsenal , sisi Ndio tumekuwa tukiwafariji humu[emoji1787][emoji1787]Aser8 embu tuacheni tupumzike kupisha michuano kombe la dunia.
Mmetusema sana, kutunanga sana, kejeli sana basi zinatosha.
Nendeni mkashangilie kombe la dunia, tukutane mwezi 12 kwenye mwendelezo wa vipigo.
Mkibeba UCL nyie kenge maji, Niiteni Ashura nimekaa paleeee!Anaenda kuleta Arteta ndani ya misimu miwili hii, alipofika Arsenal aliahidi
Huo utabiri alikuwa anawatabiria Livapuru.Hadi Sasa ujengewe SANAMU pale posta
Ashura tunatunza hii.Mkibeba UCL nyie kenge maji, Niiteni Ashura nimekaa paleeee!
Uefa tutachukua next season, Uefa + EPL.Siku Arsenal akibeba UEFA, Chelsea tutakuwa nazo kibindoni 5 hadi 7
Labda Europa ndio mnaweza kubeba ila hapo nako hadi msote
Manaweza mkawaotea akina Westham lakini sio timu kutoka ligi zingine
Ile ya 2018/19 Chelsea tuliwaharibia dili, safari nyingine ombeni Chelsea wasiwepo au watolewe mapema
Sisi huwa hatufanyi utani kwenye in ternational finals, hata yale matakataka yanafufukia kwenye final
View attachment 2420249
Acha ndoto za ajabuUefa tutachukua next season, Uefa + EPL.
Mkibeba UEFA mimi nageuka kuwa Ashura.Uefa tutachukua next season, Uefa + EPL.
[emoji23][emoji23] daah hii logo walivyoiiedit imeniuuma aiseeMashabiki wa Kenge Fc wameshaanza kunenepeana, bora kombe la dunia liishe fasta ili hizi kenge za darajani zianze kuteseka. View attachment 2420742
Ajengewe sanamu kwa roho mbaya tu, mbona hajawahi kuitabiria Chelsea mazuri tangu dunia iumbwe?Hadi Sasa ujengewe SANAMU pale posta
Uliona mapemaMkuu arsenal wamoto sana safari hii
Ukiwa na jicho la mpira hautanipinga
Wewe jamaa kwa comedy tu sikuweziChelsea haikufungwa na Arsenal 4-0 Kwa sababu ya defense mbovu Wala haikushinda Kufungua Kwa sababu ya forward mbovu. Sehemu kubwa ni approach ya game haikuwa serious. Waliichikulia Ile mechi kama mazoezi wakati wenzao wameichukulia kama fainali za UEFA, kidding
Agressiveness haikuwepo kabisa kuanzia nyuma katikati Hadi mbele. Hata kipa mwenyewe hakuwa serious na Ile game