Kushoto alikuwa ashley cole beki wakulia alikuwa bosingwa na ivanovich ndio walikuwa wanagombiniana namba Alzipicueta alikuja msimu inayofuata I thinkHivi Azp kwenye champions legue y kwanza hakuwepo?
Kushoto alikuwa ashley cole beki wakulia alikuwa bosingwa na ivanovich ndio walikuwa wanagombiniana namba Alzipicueta alikuja msimu inayofuata I thinkHivi Azp kwenye champions legue y kwanza hakuwepo?
Spurs tunamuamini kwa sababu ya Conte hakuna la ziadaSpurs kwa ule mpira wa kuvizia ,endeleen kumuamini ,
After 10 match nitakutafuta
Mi mwenyewe nashangaa huyu Fofana ni wakawaida sana, hat Ake, huwa anarukaruka tu uwanjani na zile nywele, tena yeye ndio sababu juzi city wametobolewa kwenye ngao ya hisani.Chelsea kwenye suala la kuuza na kununua wachezaji sijui huwa tunakwama wapi. Tunauza wachezaji wazuri sana kwa sababu za kipumbavu kabisa, kisha tunanunua wachezaji matakataka tu.
Huyu Fofana anakuja kufanya nini Chelsea!? Tena tunatoa hela nyingi kiasi hicho, aisee acha tupigwe tu maana bodi imejaa upumbavu sana.
Milan Skriniar huyu beki tumeshindwa nini kumsajili? James Tarkowski huyu beki ni msimu wa tatu namuongelea hapa, ni moja ya beki mzuri sana ni vile tu alikuwa Burnley akashindwa kuongelewa. Tarkowski anauzoefu mkubwa kwenye ligi kuu Uingereza toka msimu wa 2016/17 mpaka sasa. Burnley imeshuka daraja tulishdwa nn kumchukua huyo mwamba tena alikuwa anapatka bure kabisa, tumekalia kuchukua matakataka tu.
Aisee timu ikiwa hivi, kuna timu zitaogopa kuleta timu uwanjani.------------------------- AUBA ---------------------
STERLING ----- MOUNT ----- BENARDO
----------- KANTE ---- DE JONG-------------
CHIL -- CUCU -- KOULIBALY ---JAMES
[emoji117] Toddy Boehly atuongezee:-
1. De jong
2. Auba
3. Bernado Silva
[emoji117] Hapa TT asipochukua ubingwa EPL, kibarua kiote nyasi
Hapo muondoe Silva------------------------- AUBA ---------------------
STERLING ----- MOUNT ----- BENARDO
----------- KANTE ---- DE JONG-------------
CHIL -- CUCU -- KOULIBALY ---JAMES
[emoji117] Toddy Boehly atuongezee:-
1. De jong
2. Auba
3. Bernado Silva
[emoji117] Hapa TT asipochukua ubingwa EPL, kibarua kiote nyasi
Mimi sioni uzuri wakeFofana yule mchezaji mzuri ,
Winning start with defense.Ndio ujue tuna kibri, sio lazima usajiri vzr had uwe UCL
Na usajiri hatujamaliza, we need two palyers tuonyeshane makali
Nyiee mnatumia pesa nyingi kusajiri mabeki
Ngoja Ligi ianze Tuone panapovuja
Una wasiwasi Fofana atakuja kuwa kama Maguire? [emoji851]Auba kashasema anabaki Barca , Dejong Ndiye mtamchukua
Fofana mnauziwa 85?
[emoji599] || Chelsea are reportedly willing to meet Leicester’s £85m valuation of Wesley Fofana [Via - @JackRosser_].
HIZZI DAKIKA ZA MWISHO MTAPIGWA SANA
Mkuu ulikiwa unamfatilia fofana kweli???Mimi sioni uzuri wake
Fofana sio beki wa standard yetu ubora wake ni upi unaojua weweMkuu ulikiwa unamfatilia fofana kweli???
Huyo cucurella anaenda Barcelona,muwe mnaacha kukulupukia deals za watu,wakati city tunamtaka Barcelona hawakuleta mdomo ,hivi Barcelona mliwafanya nin View attachment 2311534
Performance ya one season ndio inawapa confidence na kuamini anahitajikan kwa bei hio ? , Cucurella ni mchezaji mzuri ila kwa hio bei hapana .....!!Mkuu Pain killer Cucurella amekuwa mchezaji Bora wa msimu wa club ya Brighton kwa kura za mashabiki lakini pia kwa kura za wachezaji wenzake wa timu isitoshe ameonesha ubora dhidi ya team kubwa zote za epl amekichafua utasemaje ni mchezaji wa kawaida?
Yaani system ingeruhusu likes 7 ningekupaWinning start with defense.
Kokote kule utakokwenda na chochote kile utachofanya Anza better defense then proceed mbele.
Hata kwenye biashara kabla hujaweka mtaji Anza na risk analysis and management then proceed.
Timu zinazoshinda zote huwa na solid defense kwanza.
Kabla ya kubisha umfuatilie kwanza ili baadaye usije yarudia matapishi yako. Hata mimi nilikuwa na wasiwasi naye ila kiukweli sijawahi mfuatilia. Ana miaka 21 tu na ameshajipatia namba ya kudumu kwenye first team. Leicester city ilianza kuboronga alipoenda majeruhi. Fofana anaweza asiendane na fee kubwa Chelsea inataka kulipa ila kuna vionjo ambavyo TT kaona kwake tusibishe tu, haitatujenga kama timuFofana sio beki wa standard yetu ubora wake ni upi unaojua wewe
breakingthelines.com
Alonso akiondoka anaweza kuchukua lakini kwa sasa anaweza kuvaa 2. Namba 25 ni legendary....lazima mtu apige simu kwa Zola aiombe [emoji851]ninahisi Cucurella anaweza kuvaa jezi ya no 3 kama Alonso atasepa au namba 25.