Kwani wewe unamuonaje sterling ukitoa ushabiki
Tatizo la Sterling ni moja tu ,anahitaji kumtengenezea nafasi nyingi kufunga goli moja



....
Na ni kawaida yake kupoteza big chance one vs one na goalkeeper,japo hili ni kawaida kwa wachezaji .....
So hakikisheni mnamtengenezea chance nyingi sana ....vinginevyo mtakuja kutukana humh matusi ya Kila aina ...
Ni mtu wa kudive sana ,anajua kukokota mpira ndani ya box na kujigongesha kwa miguu ya madefender ,kashatengeneza panalt za namna hio nyingi sana city ..
Sterling ni mzuri kwa team inayopossess mpira kwani counter attack nying haziwezi ,anapoza mashambulizi sana ,japo Mara moja moja akipata kiungo mbunifa wa kupiga penetration pass Kama kdb huwa anafanya maajabu Kwan , penetration pass nyingi huwa anajikuta yupo na one vs one na goalkeeper hivyo kumalizia tu ..
Kupoteza poteza mpira kwa kulazimisha chenga ambazo sio za msingi ni kawaida yake Sterling ....
Sterling ni LW ,anakiwa one Vs one na defender akiwa upande wa left Basi huwa anajua kumgeuza na kupiga cave ...
Mbaya zaidi unakuta anakosa chance muda ambao team imelemewa hatari ,....!
Sitasahau uefa dhid ya Lyon ,tulipofungwa 3-1 ...!!