This is too much
Todd Boehly tacticts zake ndio ilikuwa avizie mwishoni mwa dirisha afunge mabao ya ushindi. Kila mchezaji mzuri sasa anahusishwa kuja Chelsea, Hadi tetesi zinaumiza kichwa maana ni nyingi mno. Mwisho wa dirisha tunaweza jikuta tumeleta vifaa 10 vya kuotea mbali
- Chelsea wanang'ang'ana na Cucurela
- Fofana wametoa paundi mil 66 na Leicester wamekataa na bado Chelsea wanaboresha
- Aub mazungumzo yameanza
- De Jong mazungumzo yanaendelea
- Depay yuko kwenye list naye
- Cristiano bado yuko kwenye tetesi za kusajiliwa dakika za lala salama
- Michael Edwards naye anawindwa
- Rabiot naye katajwa