Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Auba kashasema anabaki Barca , Dejong Ndiye mtamchukua

Fofana mnauziwa 85?
|| Chelsea are reportedly willing to meet Leicester’s £85m valuation of Wesley Fofana [Via - @JackRosser_].

HIZZI DAKIKA ZA MWISHO MTAPIGWA SANA
Wewe unabase na taarifa za juzi
Barca baada ya Jana kukataliwa na Laliga kusajili wachezaji Sasa wamekuja na azimio. Kuoffload Dejong na Auba ni lazima na mazungumzo ya kuwauzia Chelsea yameanza rasmi kwenye level ya klabu
 
Wewe haupo seriously Rudiger tumemsajili kutoka Roma akiwa kwenye form ya hali juu pia akapaform kwenye michuano ya mabara akiwa na team yake ya Taifa ya Ujerumani chini ya kocha Conte na msimu wake wa kwanza tu alikiwasha na hata kipindi Cha sarri alivyokuja Lampard hakumpa nafasi lakini kwenye team yake Taifa alikuwa anaanza first eleven kama kawaida kilichoondoka kwa Rudiger ni form lakini class ikopalepale Tuchel alivyokuja akamuamini class ikarudi na perform lakini sio kwasababu Rudiger alikuwa sio mzuri
Acha ubishi wewe wakati tunamchukua Rudiger hakua kati ya mabeki bora ulaya hata top 20 huwezi kumuweka. Tulivyomchukua sisi ndio kidogo akaanza kupanda chat.
 
Chelsea kwenye suala la kuuza na kununua wachezaji sijui huwa tunakwama wapi. Tunauza wachezaji wazuri sana kwa sababu za kipumbavu kabisa, kisha tunanunua wachezaji matakataka tu.

Huyu Fofana anakuja kufanya nini Chelsea!? Tena tunatoa hela nyingi kiasi hicho, aisee acha tupigwe tu maana bodi imejaa upumbavu sana.

Milan Skriniar huyu beki tumeshindwa nini kumsajili? James Tarkowski huyu beki ni msimu wa tatu namuongelea hapa, ni moja ya beki mzuri sana ni vile tu alikuwa Burnley akashindwa kuongelewa. Tarkowski anauzoefu mkubwa kwenye ligi kuu Uingereza toka msimu wa 2016/17 mpaka sasa. Burnley imeshuka daraja tulishdwa nn kumchukua huyo mwamba tena alikuwa anapatka bure kabisa, tumekalia kuchukua matakataka tu.
Lampard keshamchukua Tarkowski
 
Acha ubishi wewe wakati tunamchukua Rudiger hakua kati ya mabeki bora ulaya hata top 20 huwezi kumuweka. Tulivyomchukua sisi ndio kidogo akaanza kupanda chat.
Sema ulikuwa umfuatilii ni kama sasa koulibaly ni top best defender watu hawamuweki kwenye hiyo level kwasababu hawafatilii ligi ya Italy na team aliyochezea Napoli lakini baada ya kuja team yetu ile level aliyoonesha Napoli akaipaste hapa Chelsea utaona atavyoanza kusifiwa
 
Uvumilivu huwa ni mzuri sana. Huwa nampenda jamaa moja wa Man u yule Aliapipi Man u inacheza na dunia yote inafuraha baada ya hapo Man u anapata kipigo kitakatifu lakini yeye yupo tu.

Ushabiki hautaki makasiriko, ushabiki ni uvumilivu na kusapoti timu kulingana na wakati. Kuna wakati wa shida na wakati wa furaha. #Chelseaalways great#
Ila kiukweli wakati mwingine makasiriko ndio yanaleta mchecheto sana. Imagine kuna mtu kutoka jukwaa lingine anakuja kutunanga humu hapohapo unakuta mtu wa humuhumu nae anakandia hasa labda baada ya kupata matokeo mabovu siku mambo yakibadilika inakua zamu yao vikejeli, misemo yan inakua inaleta raha sana
 
Cucurella mmepigwa mazeeeet 55 million + ....

Huyo ni average LB ambaye price yake haitakiwi kuzidi £million 30 hata Brighton wamemchukua kutoka getafe chini ya £20 million
Mkuu Pain killer Cucurella amekuwa mchezaji Bora wa msimu wa club ya Brighton kwa kura za mashabiki lakini pia kwa kura za wachezaji wenzake wa timu isitoshe ameonesha ubora dhidi ya team kubwa zote za epl amekichafua utasemaje ni mchezaji wa kawaida?
 
Sema ulikuwa umfuatilii ni kama sasa koulibaly ni top best defender watu hawamuweki kwenye hiyo level kwasababu hawafatilii ligi ya Italy na team aliyochezea Napoli lakini baada ya kuja team yetu ile level aliyoonesha Napoli akaipaste hapa Chelsea utaona atavyoanza kusifiwa
Mkuu ninafatilia mpira kuliko unavyodhani. Ukiachana na kuwa na shabiki wa Chelsea mimi ni shabiki wa mpira wa miguu naangalia ligi nyingi na mechi nyingi ukiachana na hivyo pia mimi ni mkamaria(betting) kama unavyojua ni lazima uwe mfuatiliaji mzuri ili kuhakikisha unalinda mkoba, hivyo kwa kukwambia ivyo nadhani ushanielewa ni kwa namna gani niko karibu na mpira hasa wa ulaya.
 
Average palyer huyo

Katakata mech 1 tu Dhidi ya man u

Ndio maana Pep alisema being make mwisho Sana umepigwa £40m
Cucurella amekuwa mchezaji Bora wa msimu wa club ya Brighton kwa kura za mashabiki lakini pia kwa kura za wachezaji wenzake wa timu na zaidi ameonesha ubora mkubwa dhidi ya team zote kubwa za epl ametusumbua sisi Chelsea, amecheza vizuri Sana dhidi ya Liverpool, ameperform vizuri dhidi ya Liverpool, Tottenham pamoja na timu yako ya Arsenal sijakuelewa unavyosema kacheza vizuri dhidi ya man u tu hii imenipa shida kuhoji may be wewe sio mfuatiliaji wa mpira
 
Auba kashasema anabaki Barca , Dejong Ndiye mtamchukua

Fofana mnauziwa 85?
|| Chelsea are reportedly willing to meet Leicester’s £85m valuation of Wesley Fofana [Via - @JackRosser_].

HIZZI DAKIKA ZA MWISHO MTAPIGWA SANA
Sahiv mmegeukia kupigwa, mwanzon mlikuwa mnasema Roman kaondoka msitegemee tena kusajil kwa gharama, mkaanza mnawajua matajiri wa kimarekan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom