Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,094
- 125,956
Hatuna LA kupoteza 😎Naona unajichekesha
Hatuna LA kupoteza 😎Naona unajichekesha
Ah kumbe zee la essay ulideclare hiviKuanzia sasa nitakuwa naishabikia Man City kwa mkopo hadi mwisho wa msimu, ukichukia meza wembe na limao.
Msimu ujao bado haujafika, vp tukiishia nafasi ya 17 😂La kupoteza lipo msimu ujao team itashuka championship.
Unashadidia Mambo ya Chelsea wakati team yako huko inamaliza msimu bila tajiKocha anasema wachezaji hawajitumi.
Chalobah aka Kiroba anasema wachezaji tunajituma.
Spurs wametangulia watakuwa wenyeji wetuLa kupoteza lipo msimu ujao team itashuka championship.
Wazee wa Netflix mnachekeshaKajamaa Rosemary katapeli, sasa hivi kanaona maji yamezidi unga, game 5 mfululizo hamjafunga goli.... kanakuja na kauli wachezaji hawajitumi... tena mbele ya camera .... safi sana majirani tunafurahia anguko lenu
Wanachekesha sana .... Arteta ni tapeli hakuna kocha humoWazee wa Netflix mnachekesha