lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Leo saa nne uskiku ndio ligi inaanza Selhurst Stadium Arsenyeto wakishughulikiwa na wenzao wa LondonMajukumu ya ufungaji anakabidhiwa Broja au Kai? Kesho ligi inaanza, lawama kwa wachezaji, kocha, board na wamiliki wanaanza rasmi kupokea lawama.
Muda wa mashabiki kutoa ushahuri na dukuduku zao zimeisha hivyo wanasubiri Kama zimefanyiwa kazi au laah...
Uongozi wafanye jitihada kumpata kiungo fundi mmoja tu kwa ajili ya kusambaza mipira mbele...Kama De Jong hapatikani basi Conor apewe mbinu ili afanye hiyo kazi.