Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wanajiandaa kupeleka ofa ya Paundi mil 70 kumsajili Wesley Fofana
Tomori tulimuuza mil 25
Colwill tutamuuza mil haitazidi paundi mil 25
Baada ya miaka miwili tutamtaka kwa paundi mil 70
Kwa sababu mimi namuona Fofana (21yrs) sio upgrade ya Colwill, kilichowatofautisha ni umri tu (2 yrs apart) na uzoefu kwenye ligi
Colwill kuna buy back ya 40-45, halaf leo Fabrizio anasema huenda ikawa ni Loan
 
Done Deal
Cucurella to Chelsea.

Cucurella deal lake ni £55M + 7M kama add on, total ni 62M
Levi Colwill anaenda kwa mkopo Brightom

Twende kwa Fofana sasa
Huyo ni genius
Msimu wake wa kwanza tu miezi miwili anatisha hivi. Akifikisha 10+ kama za Marina si Chelsea tutakuwa mabingwa wa maisha EPL na UCL
 
Chelsea have confirmed their 2022/23 squad numbers hinting at the roles Carney Chukwuemeka, Conor Gallagher and Armando Broja will play this season.
  1. Chukwuemeka has been handed the no.30 shirt,
  2. Broja the no.18 jersey and
  3. Gallagher has been assigned the no.23 shirt.
  4. Raheem Sterling has been given the no.17 shirt whilst
  5. Kalidou Koulibaly has inherited club legend John Terry's famous no.26 shirt.
  6. Club captain Cesar Azpilicueta remains as no. 28
  7. Numbers not selected include no.2, no.4, no.15 and no.25 which could be taken by incoming new signings
No.4 Ake, Cucu No. 2
 
1659667493440.png
 
wale wasiojua alichokuwa akifanya Barca ndio hii. Wamesajili wachezaji na wanaweza wasiwatumie wengine msimu huu

Barca have attempted to register their new signings with La Liga; however they have found themselves €150m short of financial fair play requirements.
 
Vipi bado mnamashaka na Boehly-Eghbali kuhus swala zima la kumwaga mpunga???
Tajiri analipa kulingana na umuhimu wa huyo mchezaji kwa TT ndio maana ikitokea kocha kamn'gan'gania Sana huyo mchezaji Tajiri yupo teyari kulipa hela yoyote tunalipa kulingana na quality ya mchezaji hiki ndiyo nilichogundua kwa style hii Tajiri atafanya kupooza machungu ya kuondoka kwa mpendwa wetu Abramovic
 
De jong? sidhani

Tumeshamsajili Chukwuemeka (CM/AM) nadhani ataongeza ubunifu zaidi kwenye safu ya kiungo yetu.
Frenkie de jong ni deep midfielder playmaker anacheza nafasi ya Jorginho nakwanini TT anamtaka Sana nikwasababu tunakosa option kwenye hiyo nafasi ukimtoa jorginho hakuna mchezaji mwingine wakucheza hiyo nafasi ndio maana anaforce kumchezesha Lotfus cheeck kwenye hiyo nafasi lakini kiuhalisia sio kiungo wa chini hata Mourinho aliwahi kusema na TT anajua Hilo.Na hii pia imechangia jorginho kucheza mechi nyingi kuliko midfielder yoyote
 
Frenkie de jong ni deep midfielder playmaker anacheza nafasi ya Jorginho nakwanini TT anamtaka Sana nikwasababu tunakosa option kwenye hiyo nafasi ukimtoa jorginho hakuna mchezaji mwingine wakucheza hiyo nafasi ndio maana anaforce kumchezesha Lotfus cheeck kwenye hiyo nafasi lakini kiuhalisia sio kiungo wa chini hata Mourinho aliwahi kusema na TT anajua Hilo.Na hii pia imechangia jorginho kucheza mechi nyingi kuliko midfielder yoyote
N huenda ikawa ni kutake advantage katiba meza ya mazungumzo, maana Jorginho mkataba wake unaisha mwakan,, Endapo tukimsajil De Jong utatufanya tuwe na advantage kwenye meza ya majadiliano kwa jorginh n kante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom