Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Colwill kuna buy back ya 40-45, halaf leo Fabrizio anasema huenda ikawa ni Loan
Medical tests successfully completed for Marc Cucurella in London. Now time to check and sign documents… here we go, again. #CFC Levi Colwill will join Brighton on loan, as expected.
— Fabrizio Romano

After medical completed, Chelsea and Brighton set to sign documents for Marc Cucurella deal. #CFC Exclusive details Chelsea will pay £55m fixed fee plus £7m add-ons. Levi Cowill will join Brighton on loan until June 2023. Expected to be official this week.
 
Cesar Azpilicueta has an impressive trophy cabinet during his time at Chelsea:

Premier League
Europa League
Champions League
FA Cup
League Cup
Super Cup
Club World Cup

And now he has two more years to add to it.

César Azpilicueta is the first player in Chelsea's history to win the following trophies at the club:

◉ Premier League
◉ UEL
◉ UCL
◉ FA Cup
◉ EFL Cup
◉ Super Cup
◉ Club World Cup

Dave stays for two more years.
 
Raheem Sterling - £49million
Kalidou Koulibaly - £34million
Marc Cucurella - £55million
Carney Chukwuemeka - £20million
Gabriel Slonina - £10million

Summer transfer budget = £300million
Total amount spent = £168million
Amount remaining = £132million

A lot more to spend!
 
Chelsea kwenye suala la kuuza na kununua wachezaji sijui huwa tunakwama wapi. Tunauza wachezaji wazuri sana kwa sababu za kipumbavu kabisa, kisha tunanunua wachezaji matakataka tu.

Huyu Fofana anakuja kufanya nini Chelsea!? Tena tunatoa hela nyingi kiasi hicho, aisee acha tupigwe tu maana bodi imejaa upumbavu sana.

Milan Skriniar huyu beki tumeshindwa nini kumsajili? James Tarkowski huyu beki ni msimu wa tatu namuongelea hapa, ni moja ya beki mzuri sana ni vile tu alikuwa Burnley akashindwa kuongelewa. Tarkowski anauzoefu mkubwa kwenye ligi kuu Uingereza toka msimu wa 2016/17 mpaka sasa. Burnley imeshuka daraja tulishdwa nn kumchukua huyo mwamba tena alikuwa anapatka bure kabisa, tumekalia kuchukua matakataka tu.
 
Mkuu hata wakati tunamchukua Rudiger alikua wa kawaida sana. Alikua anapigwa matobo tu lakini angalia saivi hasa chini ya TT
Wewe haupo seriously Rudiger tumemsajili kutoka Roma akiwa kwenye form ya hali juu pia akapaform kwenye michuano ya mabara akiwa na team yake ya Taifa ya Ujerumani chini ya kocha Conte na msimu wake wa kwanza tu alikiwasha na hata kipindi Cha sarri alivyokuja Lampard hakumpa nafasi lakini kwenye team yake Taifa alikuwa anaanza first eleven kama kawaida kilichoondoka kwa Rudiger ni form lakini class ikopalepale Tuchel alivyokuja akamuamini class ikarudi na perform lakini sio kwasababu Rudiger alikuwa sio mzuri
 
Mkuu haiwezekani hiyo kitu kwa mashabiki hawa wa Chelsea

Uvumilivu huwa ni mzuri sana. Huwa nampenda jamaa moja wa Man u yule Aliapipi Man u inacheza na dunia yote inafuraha baada ya hapo Man u anapata kipigo kitakatifu lakini yeye yupo tu.

Ushabiki hautaki makasiriko, ushabiki ni uvumilivu na kusapoti timu kulingana na wakati. Kuna wakati wa shida na wakati wa furaha. #Chelseaalways great#
 
Chelsea kwenye suala la kuuza na kununua wachezaji sijui huwa tunakwama wapi. Tunauza wachezaji wazuri sana kwa sababu za kipumbavu kabisa, kisha tunanunua wachezaji matakataka tu.

Huyu Fofana anakuja kufanya nini Chelsea!? Tena tunatoa hela nyingi kiasi hicho, aisee acha tupigwe tu maana bodi imejaa upumbavu sana.

Milan Skriniar huyu beki tumeshindwa nini kumsajili? James Tarkowski huyu beki ni msimu wa tatu namuongelea hapa, ni moja ya beki mzuri sana ni vile tu alikuwa Burnley akashindwa kuongelewa. Tarkowski anauzoefu mkubwa kwenye ligi kuu Uingereza toka msimu wa 2016/17 mpaka sasa. Burnley imeshuka daraja tulishdwa nn kumchukua huyo mwamba tena alikuwa anapatka bure kabisa, tumekalia kuchukua matakataka tu.
Naungana na wewe mkuu hata mimi mwenyewe simuelewi huyo fofana
 
Raheem Sterling - £49million
Kalidou Koulibaly - £34million
Marc Cucurella - £55million
Carney Chukwuemeka - £20million
Gabriel Slonina - £10million

Summer transfer budget = £300million
Total amount spent = £168million
Amount remaining = £132million

A lot more to spend!
Bado na pesa za mapato ktk kuuza wachezaji au kutoa mkopo
 
De jong? sidhani

Tumeshamsajili Chukwuemeka (CM/AM) nadhani ataongeza ubunifu zaidi kwenye safu ya kiungo yetu.
Mazungumzo yapo level ya klabu na Sasa Barcelona wanamtoa Auba na Dejong kafara ili waweze kubalance vitabu vyao na kusajili wale wachezaji waliopokonya kutoka radar zetu. Jana walijaribu kuwasanili La Liga wakaambiwa bado Wana gap la Euro mil 160**
So mazungumzo ya Sasa ni kusajili hao wawili
 
Nahisi Usajili wa Fofana, De Jong na Auba ukitick ndio itakuwa wa mwisho msimu huu na unaweza kuigharimu timu paundi mil 150 hadi 160 hivi
 
Nahisi Usajili wa Fofana, De Jong na Auba ukitick ndio itakuwa wa mwisho msimu huu na unaweza kuigharimu timu paundi mil 150 hadi 160 hivi
Auba kashasema anabaki Barca , Dejong Ndiye mtamchukua

Fofana mnauziwa 85?
🚨 || Chelsea are reportedly willing to meet Leicester’s £85m valuation of Wesley Fofana [Via - @JackRosser_].

HIZZI DAKIKA ZA MWISHO MTAPIGWA SANA
 
Raheem Sterling - £49million
Kalidou Koulibaly - £34million
Marc Cucurella - £55million
Carney Chukwuemeka - £20million
Gabriel Slonina - £10million

Summer transfer budget = £300million
Total amount spent = £168million
Amount remaining = £132million

A lot more to spend!
Wameshafika 5
Tukiongeza watu itapendeza zaidi
De Jong
Fofana
Auba
Jumla 8
 
Cucurella mmepigwa mazeeeet 55 million + ....

Huyo ni average LB ambaye price yake haitakiwi kuzidi £million 30 hata Brighton wamemchukua kutoka getafe chini ya £20 million
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom