Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cucu, at Cobham since yesterday as he completed medical and then media duties in the morning.
Anaweza kucheza kesho huyu

The very expensive Full back in Chelsea history
 
What people says about Fofana?

I watched him few times in full, man hardly wrongs, Fast , header, anticipation, timing ,know wen to stick his foot & hardly lost d ball while moving foward or make reckless tackle. WHAT MORE??

great player but 70m far too much considering how injury prone he is

Why didn’t we just go him from the start of the transfer window. His profile, especially his tenacity and heart is similar to the Chelsea defensive greats- Terry, Carvalho, Ivanovic, Rudiger. Pay the 70M quick b4 Barca comes calling. We should have gone for Bissouma, Eriksen and Bowen.

This is ridiculous...to sign him for such a huge amount we lost Guehi and Tomori..

He is not what we need rn, if we sign him instead of Gvardiol, Kimpembe, or Skriniar, I'll never understand Todd and Tuchel. Hell I'll even take Killman, Coady, or even Mings over Fofana.

He’s good, even better than jules kounde but don’t worth than £50million

He is good but 70m is just too much 4him 50m plus 10m add one should do

70 mill is this a joke ? Go for lacroix 30-40 mill will be done and has great progression

Nothing special just a normal defender who I think we have lot of that already. We don’t need him please
 
Baada ya kumfuatlia Fofana Youtube, najua sio gauge nzuri ila inakupa big picture ya mchezaji ambaye hujawahi kumfuatilia
  1. Kwanza ni mwepesi wa kuwahi na kusuia mashambulizi
  2. Ana anticipate vizuri mwenendo wa opponent wakiwa na mpira na hivyo kuwepo kwenye tukio on time kama Kante anavyofanya
  3. Ana controll nzuri ya mpira yaani king'ang'anizi hapkonywi mpira kirahisi
  4. Anaruka vizuri na hivyo kuweza kuokoa mipira ya juu
  5. Kwa umri wake wa 21yrs atakuwa asset nzuri kwa Chelsea
Udhaifu wake niliouona ni kwamba kwenye presure kubwa anajipigia tu bila kuangalia inakwenda kwa nani na hivyo anaweza expose timu kwa counter attack
 
Majukumu ya ufungaji anakabidhiwa Broja au Kai? Kesho ligi inaanza, lawama kwa wachezaji, kocha, board na wamiliki wanaanza rasmi kupokea lawama.

Muda wa mashabiki kutoa ushahuri na dukuduku zao zimeisha hivyo wanasubiri Kama zimefanyiwa kazi au laah...
Uongozi wafanye jitihada kumpata kiungo fundi mmoja tu kwa ajili ya kusambaza mipira mbele...Kama De Jong hapatikani basi Conor apewe mbinu ili afanye hiyo kazi.
 
Conor anavyoonekana atahitaji muda zaidi, kule Palace alifanya vizuri kwa sababu hakuwa na presure. Huku kila mtu anakupa presure, mashabiki, kocha, management etc
Ni lazima tumpate De Jong, sioni sababu ya kutuzuia tusimpate
 
Ngolo Kante 1400's
20220805_164800.jpg
 
Baada ya kumfuatlia Fofana Youtube, najua sio gauge nzuri ila inakupa big picture ya mchezaji ambaye hujawahi kumfuatilia
  1. Kwanza ni mwepesi wa kuwahi na kusuia mashambulizi
  2. Ana anticipate vizuri mwenendo wa opponent wakiwa na mpira na hivyo kuwepo kwenye tukio on time kama Kante anavyofanya
  3. Ana controll nzuri ya mpira yaani king'ang'anizi hapkonywi mpira kirahisi
  4. Anaruka vizuri na hivyo kuweza kuokoa mipira ya juu
  5. Kwa umri wake wa 21yrs atakuwa asset nzuri kwa Chelsea
Udhaifu wake niliouona ni kwamba kwenye presure kubwa anajipigia tu bila kuangalia inakwenda kwa nani na hivyo anaweza expose timu kwa counter attack
Paragraph ya mwisho ndio sababu inayofanya nimkatae Huyo mchezaji
 
Hatimae tumempata mchezeji mwenye msitu wa nywele baada ya Luiz na Willan kuondoka
Na yeye atakuwa moto wa kuotea mbali. Naona kama Chilwell atapata presha mbaya sana. Lakini pia TT anaweza kuwachezesha wote kwa wakati mmoja. Cucu kama left center back kwa back-three na Chilwell kama left midfielder kwenye 4 midfield.
 
Auba kashasema anabaki Barca , Dejong Ndiye mtamchukua

Fofana mnauziwa 85?
|| Chelsea are reportedly willing to meet Leicester’s £85m valuation of Wesley Fofana [Via - @JackRosser_].

HIZZI DAKIKA ZA MWISHO MTAPIGWA SANA

Kwa kweli sijajua huyu jamaa anaofa nini kikubwa. Ngoja nisubiri wajuvi wa mambo wanisaidie
 
Ila kiukweli wakati mwingine makasiriko ndio yanaleta mchecheto sana. Imagine kuna mtu kutoka jukwaa lingine anakuja kutunanga humu hapohapo unakuta mtu wa humuhumu nae anakandia hasa labda baada ya kupata matokeo mabovu siku mambo yakibadilika inakua zamu yao vikejeli, misemo yan inakua inaleta raha sana

Sawa mkuu
 
Sema ulikuwa umfuatilii ni kama sasa koulibaly ni top best defender watu hawamuweki kwenye hiyo level kwasababu hawafatilii ligi ya Italy na team aliyochezea Napoli lakini baada ya kuja team yetu ile level aliyoonesha Napoli akaipaste hapa Chelsea utaona atavyoanza kusifiwa
Koulibally alikuwa kwenye top level wa defenders duniani tangu akiwa Napoli na every body knew it labda wachache
 
Fofana hajulikani sana kwa sababu hakucheza kwenye timu kubwa ila sio wa kumuunderate
Fofana ni mzuri sana kwenye kuwin mipira ya juu akiwa na urefu mzuri wa futi 6 na inchi 3 sio kama Kounde mfupi. Fofana ni mwepesi kurecovcer na kuzuia counter, Fofana ana uwezo mkubwa wa kublock na kizuri kwake zaidi anajua kufanya timing, awe wapi kwa muda gani, anataka kufanana na anavyofanya Kante ila yeye kwenye defensive area. Fofana anaweza kubreak lines kama na nadhani ni moja ya factor TT kampendea. Sidhani kama TT atakubali pesa nyingi zipotee kwa mchezaji asiyemjua. Tumuamini TT. Ndio maana kwa Ake city alipokataa dau letu TT hakuendelea kumng'ang'ania.
Huyu Fofana ana nini cha ziada?
Hapo juu nimeeleza alichonacho zaidi
 
Nikiwa napita pita humu kuchora nini chelshit mnawaza nimegungua mna mawazo mgando sana na sio watu wakupekua habari.

Yani mmetuliza kende zenu hapo darajani mkiwa mna mawazo kabisa eti de jong anakuja darajaninimebaki kuwaonea huruma tu maana amjui lolote kuhusu swala la De jong.

Naona kuna takataka zinasema eti de jong apendi kwenda manyumbu sababu imepoteza mvuto aipo na uefa nimecheka sana

Sijui ni wasanue sijui nikae kimya tu kuhusu swala la de jong mbaki mnajazana mafi tu kwenye ubongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom