Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

5. Nasikia Viongozi wa Upinzani wanayakataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa visingizio vya NEC na ZEC kutokuwa vyombo huru. Kwa nini hawakuweka Madai haya kabla ya kutangazwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu?
Walijua fika kabisa kuwa hakuna cha tume huru.

Hata 2015 walikuwa wanajua tume si huru.

2010 vivyo hivyo.

Halafu subiri uone itavyokuwa 2025! Watashiriki tena chini ya tume hii hii!

Ni sikio la kufa hao.
 
Tunawasubiri kwa hamu katika maandamamo yao,tunawahakikishia tuta tumia vyombo vyetu vya ulinzi vilivyo tukuka kuanzia jeshi la wananchi,jeshi la polisi kuhakikisha tunatoa ulinzi imara kwa mama Tanzania
Askari yeyote atakayejaribu kuleta FUJO kwenye maandamano yetu ya AMANI, ajue tu kwamba ATAKUWA AMEIWEKA FAMILIA YAKE REHANI. Hatutavumilia upuuzi wenu tena. SASA BASI.
 
Uhuni wa CCM jumatatu ndiyo mwisho, na wasifikiri haya yatakuwa kama maandamano ya Mange. This is really political revolution.
Hakuna kitakachofanyika kama unabisha Jumatatu ni baada ya kesho tutaona.

Vumilieni penicillin injection huwa si ajabu kuwa na maumivu makali.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Tundu Lissu asisahau tu kurejesha familia yake toka Ubelgiji ije tuandamane nao, maana kwenye kupiga kura hata mkewe tu hakurudi kumpigia kura. Sasa sijui alitegemea nani ndo akampigie kura?

Kuna kitu inaitwa voter mobilisation, hawa wanaojiita wasomi w Chadema hawakuona CCM walivyokuwa wanahimiza wanachama wao mpaka siku ya uchaguzi kwenda kupiga kura? Kwanini wao hawakufanya hivyo?
 
Niaje niaje?

Moja Kwa moja kwenye mada kuu, napenda kuwapongeza WATANZANIA wenzangu Kwa kuwa wazalendo kabisa. Bila shaka ninyi ni mashujaa na wa kweli kabisa katika maisha ya kawaida ndio, lazima tuseme ukweli panapohitajika uwezi kupata ubunge ukalipwa posho zako ukasahau walio kupigania uupate, hii ni dharau. Kira siku ni kujipost tu uko mtandaoni mkijidai na kujitapa kama ninyi ni matajiri wakubwa mnashinda kuvaa gold kwenda kwenye mahotel makubwa na familia mkijiona Bora kabisa ndio.

Una magari sita sijui matano yote umeweka majina yako kwenye kwenye plate number ambayo unalipia Kira moja karibu milioni kumi Kwa mwaka wakati aliye kupambania ubaki kwenye madaraka bima ya afya ya elfu arobaini tu hana, na uko comfortable kabisa kujimwambafai kwa visuti vyako vya sinza kijiweni na vimoka vyako vya kariakoo sokoni.

ASANTE WAJUMBE KWA KUTOWAPIGIA HAWA MABAZAZI WAKUBWA, unajifanya unatupigania huku watoto wako wanasoma international schools Sisi wetu wanasoma changanyikeni haafu unasema tuko sawa wewe ni TAAHAHIRA MKUBWA.

SASA KWA TAARIFA YAKO HATUANDAMANI TUNAUNGA JUHUDI LIWALO NA LIWE. WEWE UKIONA HAPA PAGUMU HAMA NCHI MWANASESERE WEWE.

Nawasilisha
Kwahiyo walichaguliwa wanawapigania na watoto wao hawasomi international schools?
 
Amani iwe nanyi.

Nyie ndio walinzi wa Watanzania, nyie ndio mnashika silaha kwa niaba ya watanzania. Nyie kama jamii ya watanzania na sehemu ya watanzania mmeona kilichotokea tarehe 28 ambapo kura zilipigwa ila watu wametangaza matokeo yao walioyandaa kabla hata ya uchaguzi. Nyie ni mashahidi na mmeona yote..

Hawa si wa kuomba wala kulilia hali. Suala lisiwe wao kupiga au kuuwa. Ngoma hapa ni kuwa two way traffic. Hakuna mwenye hati miliki ya kuuwa au kupiga.

Hiyo ndiyo mamboleo mantarafu anayopaswa kuisikia bwana mamboleo.
 
Mbowe sio kosa lake, kisu kimezama mfupani safari hii na yeye kakosa ulaji, madeni ya kampeni atalipaje, wa kwanza kuwa punguani ni mawakala wao waliotokeza hadharani kukubali matokeo.

Njaa ni mbaya sana inaweza kukutia upofu.... subiri tuone wakitangulia mbele ya maandamano. Hii ndio karata yao ya mwisho...
Askari yeyote atakayejaribu kuleta FUJO kwenye maandamano yetu ya AMANI, ajue tu kwamba ATAKUWA AMEIWEKA FAMILIA YAKE REHANI. Hatutavumilia upuuzi wenu tena. SASA BASI.
 
Askari yeyote atakayejaribu kuleta FUJO kwenye maandamano yetu ya AMANI, ajue tu kwamba ATAKUWA AMEIWEKA FAMILIA YAKE REHANI. Hatutavumilia upuuzi wenu tena. SASA BASI.
toka nyuma ya keyboard uongee hayo km hawajakutafuna nyama nyau wew unatuhasisha tuchafue hali ya amani yetu...hovyoooo
 
Tundu Lissu asisahau tu kurejesha familia yake toka Ubelgiji ije tuandamane nao, maana kwenye kupiga kura hata mkewe tu hakurudi kumpigia kura. Sasa sijui alitegemea nani ndo akampigie kura? Kuna kitu inaitwa voter mobilisation, hawa wanaojiita wasomi w Chadema hawakuona CCM walivyokuwa wanahimiza wanachama wao mpaka siku ya uchaguzi kwenda kupiga kura? Kwanini wao hawakufanya hivyo?
Askari yeyote atakayejaribu kuleta FUJO kwenye maandamano yetu ya AMANI, ajue tu kwamba ATAKUWA AMEIWEKA FAMILIA YAKE REHANI. Hatutavumilia upuuzi wenu tena. SASA BASI.
 
Askari yeyote atakayejaribu kuleta FUJO kwenye maandamano yetu ya AMANI, ajue tu kwamba ATAKUWA AMEIWEKA FAMILIA YAKE REHANI. Hatutavumilia upuuzi wenu tena. SASA BASI.
Kwa nini hamkwenda kupiga kura?? Hata First Lady wenu hakuja hata kupiga kura toka huko Ubelgiji, kwanini?
 
Tunataka fedha za uchaguz zitoke nje ili iwerahisi kuingilia uchaguz endapo kutakuwa na singeri Kama hizi,,
 
Wanawaza ile mikopo.. ruzukuuuuuu ndio Mbowe analia kabisa. Pesa ya familia wanaikosa kivileeeeee

Watulie, ila duh Wananchi mumewatenda hawa...loooo.. tabu hawatabadilika.. wamuombe Sr. Slaa msamaha pia
Acha ushamba na uongo kwa wizi uliofanyika wa kura ambao hata wewe unaujua au ulishiriki wako sahii kuupinga huu uchaguzi.
 
Mbowe na genge lake mapunguani wakubwa. Alichokiomba hakiwezekani asilani, watanzania sio wajinga kiasi hicho anachodhani. Kama walivyompuuza kwenye Corona na kumvua nguo kwenye uchaguzi mkuu ndivyo itakavyokuwa juma tatu.

Hawatavuka zaidi ya mita 10,wao na familia zao. Kwa kichapo maalim alichokula juzi ningemshangaa kumwona kwenye kikao. Uongozi ni kuwajibika, ungekuwa na akili ungejiuzulu mapema kwa kukiua chama. Shame on you.
 
Bullshit!

Ati Mbowe anaitisha kuvunjwa kwa NEC na kuundwa tume huru ya uchaguzi.

Hana jipya!
We acha kujipendekeza na kuweka masilahi ya chama mbele kuliko taifa shida nyie wengi wa kijani ni wazalendo na wafia chama siyo nchi. Ndio maana kijani inavyofanya uharamia wake nyie ndio washirika wakuu huwa mnafanya bila kuangalia masilahi ya nchi.
 
Jiwe lazima ashinikizwe. Usiwapangie. Umeona matamko ya mabalozi wa US na Canada? Sasa jiwe aendelee kuwa hard headed aone! Atakamatwa kama ilivyokamatwa bombardier yake.
Upuuzi mtupu. Utashangaa, na ndege tano twanunua toka Boeing na zitafika salama. Ingieni barabarani muipate ya moto moto, mita 10 mwisho zaidi ya hapo nyonga zitagawanywa. Nawasubiri juma tatu nyuma ya keyboard.
 
Mbowe na genge lake mapunguani wakubwa. Alichokiomba hakiwezekani asilani, watanzania sio wajinga kiasi hicho anachodhani. Kama walivyompuuza kwenye Corona na kumvua nguo kwenye uchaguzi mkuu ndivyo itakavyokuwa juma tatu. Hawatavuka zaidi ya mita 10,wao na familia zao. Kwa kichapo maalim alichokula juzi ningemshangaa kumwona kwenye kikao. Uongozi ni kuwajibika, ungekuwa na akili ungejiuzulu mapema kwa kukiua chama. Shame on you.
Umeona na wewe umeandika vya maana. Watu wa kijani bwana mnajiona wa maana na mna akili sana.. kumbe bure kabisa. Huu uchanguzi strategic za wizi mlifeli sana yaani hata mtoto wangu wa miaka mitano anajua? Mmebakiza matusi na kusifia na kumendea posho. Shame!!
 
Back
Top Bottom