Kwani ulikuwa hujui?😁Alaf kumbe kampuni ya mzungu foreigner 😂😂
Hakuna kitu wanaweza tengeneza hao from scratch.
Kwani ulikuwa hujui?😁Alaf kumbe kampuni ya mzungu foreigner 😂😂
Hata Burundi pekee hajafika na kila siku anapingana humu? Mtu anabisha kila kitu na hajakanyaga nje ya nchi yake? 🤣 🤣Uko ready tupost picha? Mimi nitakupostia nikiwa Europe na Marekani, wewe nataka tu ukiwa nje ya Tanzania, hata kama ni Burundi bora tu nje ya Tanzania. 😂😂😂
Non performing loans kwa real estate sector imeongezeka in the past three months.Bongolala, if that was the case, these apartments wouldn't be mushrooming up day and night in Nairobi. Unafikiri wawekezaji ni wajinga wawekeze mabilioni ya pesa wakijua hakuna wanununuzi wa hizo nyumba? It's called supply and demand. There wouldn't be any supply kama demand haingekuwa. Basic economics.
Nyinyi kama hamba uwezo wa kununua nyumba huko kwenu ndio maana ujenzi wa apartments ulifilisika kaa kando tuwaoneshe jinsi mambo yanavyfanyika.
As I type this, I know of about seven different apartments in Nairobi (all 20+floors) under construction na zote ni za kuuzwa.
Lastly, can you share with us that report indicating that most residential apartments for sale are empty
Dah, huu mtihani huu 😂😂😂😂Uko ready tupost picha? Mimi nitakupostia nikiwa Europe na Marekani, wewe nataka tu ukiwa nje ya Tanzania, hata kama ni Burundi bora tu nje ya Tanzania. 😂😂😂
Wana miliki hizo na hawajachukua mkopo wowoteAnd the houses...View attachment 3063165View attachment 3063166😂😂😂😂😂
Mwarabu Bonoko kutoka Yemen hajui watu wanatoka Marekani kuja kuishangaa Nairobi, yeye akiona Mkenya Bongoland anadhani Mkenya kaona kwao kuzuri kushinda Kenya.😂😂
Ukimuona akisema Wakenya wapo Tanzania maana hajuikuna Wabongo wangapi Kenya. Halafu hajui Wakenya wengi Tanzania wanaenda kuzuru na kufanya kazi za maana, wao huku ni Wafanyakazi wa nyumbani na ombaomba wamejazana. Hivi hata anajua kuna Watanzania wengi Kenya kuliko Wakenya walio Tanzania? Hapo juu anadhani Tanzania ndio the biggest destination ya Kenya yet kiuhalisia Wakenya hawaendi nchi za East Africa sana na nchi wayaoenda kwa sana ni Uganda, sio Tanzania. Cha kushangaza, hata Mozambique ina Wakenya wengi kuliko Watanzania. Nakwambia kutosafiri ni majanga. 🤣 🤣 🤣Hata Burundi pekee hajafika na kila siku anapingana humu? Mtu anabisha kila kitu na hajakanyaga nje ya nchi yake? 🤣 🤣
Lugha yenyewe ya mkoloni sasa "is coming to built" 🤣🤣🤣🤣And then they wonder why their government is coming to built a twin tower in Upperhill 😂😂🤣
Kwahiyo wewe kwa akili zako unaamini kabisaaa Kenya itaandaa Afcon, tusiongelee habari za opening and closing vitu ambavyo ni obvious kila mtu anajua, nakuuliza unaamini Kenya itaandaa Afcon?Sasa umeuliza Mtanzania akakujibu Tanzania alafu unajipiga kifua? Yani ni kama umuulize shabiki wa Simba kati ya Simba na Yanga gani kali, akishaajibu simba uanze kufurahia kisa wewe ni shabiki wa Simba pia. Yani Wabongo mnachekesha. 😂😂
Mnuka mavi yupo mafichoni anaandaa articles ya kuja kukuambia haija shut down bali wameongeza branch in Congo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅Yani ni vichekesho bro alaf mbaya zaidi gari ni ghali kuliko probox kwann probox isiue kiwanda 😂😂😂😂
Naona CAF standard stadium wow😂😂😂
View: https://x.com/CapitalFMSport/status/1820772452756340837?t=7Rh7lu-PID3zuO1HKIyTSg&s=19
Hapo inamwagwa USD 20m hela ishatoka tayari kaa tayari kwa maumivu.Wewe myemen wacha udesperado. You think every sporting facilty in the country should get FIFA or CAF accredition or certification?
Haya basi tuambie ni lini hili gofu lenu la Mwanza ilikuwa certified na CAF View attachment 3063222
Halafu hiyo mitaa yao ni ya 'kifahari' in quotes otherwise kiuhalisia hakuna mtaa hapo ambao unaweza linganishwa na Karen. Labda Oysterbay na Masaki kidogo zitajaribu ila bado hazifiki. Hii mitaa yao level zake ni Syokimau na Utawala. Mitaa yenyewe hata barabara ya lami ni less than 30% alafu unaitwa mtaa wa kifahari.Nimeona umelia sana nikujibu. Uzuri wangu mimi hujibu mambo kwa facts. Eneo unaloongelea hili hapa. Area = 38 sq. km
View attachment 3063504
Karen hii hapa, Area 64 sq. km.
View attachment 3063505
Hivi 64 sq.km na 38 sq. km gani kubwa? Na usikwepekwepe kama ilivyo kawaida yenu maanake nimevumilia sana kujibu kima asiye na akili kama wewe. Kawaida yangu huwa sijibizani na vinyangarika ambayvo havijakanyaga nje ya nchi zao.
30% is being too optimistic. Hapo Mbezi lami haifiki 5%. Sasa hii Mbezi eti mtaa wa Kifahari unaolinganishwa na Karen. Wewe umeona hata barabara moja ya lami? Unakosea Syokimau na utawala heshima kuzilinganisha na huu upuzi.Halafu hiyo mitaa yao ni ya 'kifahari' in quotes otherwise kiuhalisia hakuna mtaa hapo ambao unaweza linganishwa na Karen. Labda Oysterbay na Masaki kidogo zitajaribu ila bado hazifiki. Hii mitaa yao level zake ni Syokimau na Utawala. Mitaa yenyewe hata barabara ya lami ni less than 30% alafu unaitwa mtaa wa kifahari.
Kwanini all A380 huwa diverted to JNIA na sio JKIA?Lini ili handle hiyo ndege.
Bwahaha 😂😂😂I’m ready, post your pictures. 😂😂😂Uko ready tupost picha? Mimi nitakupostia nikiwa Europe na Marekani, wewe nataka tu ukiwa nje ya Tanzania, hata kama ni Burundi bora tu nje ya Tanzania. 😂😂😂