Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda pia tunaenda, Rwanda tunaenda, Burundi tunaenda, DRC tunaenda, Ethiopia tunaenda. Hakuna cha kushangaza hapo wee kima. Sisi ni watalii na Mkenya akipata pesa kutalii ni lazima. Najua mnapenda approval ya Wakenya ila msidhani mko special.
Ukiwa wewe ni mkweli na una akili timamu, niambie kati ya hizo nchi ulizotaja ni nchi ipi Kenyan hutembelea zaidi, kwa kusoma, tourism or pleasure.? Ongea tu ukweli.
 
Mbona najadili tourism na mtu ambaye hajawai toka Mbagala? Ebu nipostie picha zako ukiwa nje ya Tanzania nami nikupostie zangu ndio tuendelee na huu mjadala. Sina muda wa kupingana na kinyangarika ambacho hakijielewi maanake humu mimi hukuona hivi.

beds2.jpg
 
Akikujibu kwa picha bila matusi au kuhamisha magoli nitag.🤣🤣
 
Mbona najadili tourism na mtu ambaye hajawai toka Mbagala? Ebu nipostie picha zako ukiwa nje ya Tanzania nami nikupostie zangu ndio tuendelee na huu mjadala. Sina muda wa kupingana na kinyangarika ambacho hakijielewi maanake humu mimi hukuona hivi.

beds2.jpg
Eeeh mada imebadilishwa? 😂😂😂😂.
 
Ukiachana na structures,uchumi na elimu.
The Quality of Life ni nzuri Tanzania than Kenya generally.
Shelter-Kila Mtanzania ana kwao,kila Mkenya hana kwao hata kama ni 10X10.
Food is available-and the food is tasty-Chakula ya Kenya ni kama unakula godoro--hadi managu za Tanzania ni tamu zaidi.

Kenyans are not social na hawana furaha generally
 
Si vyema mwanamke kushika mwanaume makende sistee, hujafanyia kijana poa. Si unajua yeye umbali ametembea ni kutoka Dar hadi Mwanza?😂😂.
Jamaa unaniogopa hata ku quote comments zangu una hara 😂😂😂😂 Njoo direct mbona unanikwepa Kwepa.?
 
Si vyema mwanamke kushika mwanaume makende sistee, hujafanyia kijana poa. Si unajua yeye umbali ametembea ni kutoka Dar hadi Mwanza?😂😂.
Huyu hunikumbusha jinsi vijana wanaoishi pale ghetto huingia Facebook na kuanza kujibizana na maprofessor na kujiona wanajua kuliko hao maprofessor. Kuna picha fulani mimi huionanga sana mtandaoni, nimeitafuta nikaikosa. Naomba Mkenya aliye nayo anitumie. Kuna jamaa amelalia godoro tena chafu anapingana na watu mtandaoni. Huyo sasa ndio huyu kima. 😂😂
 
Ulipopost picha ya kwanza nilijua ulichokuwa ukitafuta. Wacha nikiipata nitakusundia. 😂
 
Huyu hunikumbusha jinsi vijana wanaoishi pale ghetto huingia Facebook na kuanza kujibizana na maprofessor na kujiona wanajua kuliko hao maprofessor. Kuna picha fulani mimi huionanga sana mtandaoni, nimeitafuta nikaikosa. Naomba Mkenya aliye nayo anitumie. Kuna jamaa amelalia godoro tena chafu anapingana na watu mtandaoni. Huyo sasa ndio huyu kima. 😂😂
😂😂😂😂 kwahiyo unanijua kumbe.? 😂😂😂😂. Dah.!!
 
😂😂😂😂wewe ni muongo mpumbavu wewe always.. ukichukua kuanzia oyster bay kufika mbezi beach ukanda wa bahari wote huo ni mansions ndio zipo huko huo upande unaweza kulingana na nusu ya Nairobi nzima 😂😂😂 ulishawahi kufika Dar.? 😂😂😂
Nimeona umelia sana nikujibu. Uzuri wangu mimi hujibu mambo kwa facts. Eneo unaloongelea hili hapa. Area = 38 sq. km
Screenshot 2024-08-07 094349.png

Karen hii hapa, Area 64 sq. km.
Screenshot 2024-08-07 094640.png

Hivi 64 sq.km na 38 sq. km gani kubwa? Na usikwepekwepe kama ilivyo kawaida yenu maanake nimevumilia sana kujibu kima asiye na akili kama wewe. Kawaida yangu huwa sijibizani na vinyangarika ambayvo havijakanyaga nje ya nchi zao.
 
Attachments

  • Screenshot 2024-08-07 094349.png
    Screenshot 2024-08-07 094349.png
    1.4 MB · Views: 6
Hata logic yako haimake sense. Football hosting inakuwa determined na infrastructure, sio tu mapenzi kwa mpira otherwise nchi kama Marekani haingekuwa inahost world cup kwa mara ya pili kabla Portugal ihost. Qatar haingehost kabla nchi nyingi za Africa na South America zihost. Halafu 2026 World Cup inachezwa USA, Mexico na Canada, kwa hizo nchi ni Mexico ndio wapenzi wa mpira zaidi ila Final March itachezwa USA. Kenya sahii tunajenga the best stadium in the region utakuwa mwehu kudhani wataacha hiyo stadium walete bongo kisa Simba na Yanga zinajaza stadium.
Talking about infrastructure wageni wapande disorganised matatuu na wawe wanakodi city guides wakitaka kwenda uwanjani 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom