Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema nini huu uwanja wakimaliza kuuezeka hakuna takataka yoyote ya kutia pia hapa, ukanda mzima huu. 👇🏾View attachment 3571188View attachment 3571187View attachment 3571189washaanza kuezeka. Ndani ya mwezi mmoya mzigo utakua na maganda yake, na hapo tutakua tumewakata ngebe wakunya. Mana hiyo exterior design ya huu uwanja ni out of this continent of Africa.
Sasa waweke hiyo milima under protection na si kuachia mentality ya wasukuma wa Mwanza kuanza kujenga vijumba vimepandana! iwe recreation area kama Pugu au Milima ya Uluguru!
 
💉
1000017618.jpg
1000017617.jpg
1000017619.jpg
 
Reserves hazilipi madeni. Usiwe mjinga.
You have proved me right that you know nothing about country foreign reserves. They are used to import commodities especially during economic crunch where dollar and other foreign currencies are in short supply in the market.
 
Kenya's forex reserves has been boosted by high remittance flow. We nolonger rely on exports and tourism pekee kama nyinyi.
Don't you see you peg your hopes on shaky ground remittances chizi kama Trump na policies zake za immigration akiamkia upande mbaya tuu mmekwisha.
 
Sasa wauweke hiyo milima under protection na si kuachia wasukuma wa Mwanza kuanza kujenga vijumba vimepandana!
Kwanini tusiuze kabisa nchi kwa Waarabu, Wachina, Wazungu ili wajenge mijengo mirefu yenye LED lights ili tuwe tunapigia oicha tunatamba??

Maana vijumba vya wasukuma vya kimasikini vinakera.
 
Kwanini tusiuze kabisa nchi kwa Waarabu, Wachina, Wazungu ili wajenge mijengo mirefu yenye LED lights ili tuwe tunapigia oicha tunatamba??

Maana vijumba vya wasukuma vya kimasikini vinakera.

Kwa arusha ukijenga majengo marefu mengi sana utaharibu maandhari ya utalii, hicho kiwanja kinahitaji garden la maana kuuzunguka uwanja, utavutia sana kuliko kukimbilia kuweka mijengo.
 
Kwanini tusiuze kabisa nchi kwa Waarabu, Wachina, Wazungu ili wajenge mijengo mirefu yenye LED lights ili tuwe tunapigia oicha tunatamba??

Maana vijumba vya wasukuma vya kimasikini vinakera.
Kwanza haijalishi nchi yetu itayumba kiasi gani, au itakuwa masikini kiasi gani, haijalishi hata kama tutafikia hatua mhaya kabisa yani maji yametukwama kooni, hakuna kuuza nchi kwa mwarabu, mchina wala mtu yoyote. Tanzania itabaki mali ya Mtanzania

Kingine kitu ambacho wengi hawajui, almost 99% ya nyumba mbaya Tanzania zilijengwa zamani sana wakati Tanzania ni masikini kupindukia. Sasahivi nadra kukuta mtu anajenga nyumba mbaya. Almost kila nyumba mpya ni standard au nzuri kabisa, tatizo la Tanzania kwenye ujenzi ni mpangomji, hatujengi kwa mpangilio mzuri

Pia hilo eneo la uwanja wa Arusha wasiruhusu ujenzi holela, kama wana plan ya Safari City kuijenga hapo kwa kufuata Master plan sio mbaya, ila kama hakuna ulazima wapaache tu. Panapendeza sana na uoto wa asili by the way. Wakijaza nyumba hapo uzuri utapungua, labda wawe very strict kuhakikisha wanafuata mpango mji
 
Back
Top Bottom