Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata logic yako haimake sense. Football hosting inakuwa determined na infrastructure, sio tu mapenzi kwa mpira otherwise nchi kama Marekani haingekuwa inahost world cup kwa mara ya pili kabla Portugal ihost. Qatar haingehost kabla nchi nyingi za Africa na South America zihost. Halafu 2026 World Cup inachezwa USA, Mexico na Canada, kwa hizo nchi ni Mexico ndio wapenzi wa mpira zaidi ila Final March itachezwa USA. Kenya sahii tunajenga the best stadium in the region utakuwa mwehu kudhani wataacha hiyo stadium walete bongo kisa Simba na Yanga zinajaza stadium.
Akibisha zaidi ya hapa nitamuona chizi 😂😂😂
 
Kwahiyo Tanzania haijengi?
 
Huu mradi wa Kawe nimeusikia humu leo mwaka wa saba kama sijakosea. Hivi, tatizo ni nini na miradi za nyumba Tanzania? Huwa haziishi!
1. Government priorities
Enzi za kikwete Kigamboni, kawe etc ilikua na mambo ya kujenga jenga magorofa.

Magufuli akaja akaona kama pesa zinaenda kusiko na faida huku wanainchi wana kero nyingi. Ndio akazihamishia kwenye miradi ya kimkakati I hope unaijua.

Imagine KIGAMBONI bridge lina Toll, ila all Magufuli bridges hayana Tolls.

So miradi ya nyumba ikasimama only ile ambayo ni more important Magufuli Hostels, Wafanyakazi, Kota za Magomeni.

2. Watu wabishi.

Nikuulize ukiwa na Access ya ardhi ya kujenga Hekalu lako ambalo.utafanya utakavyo utaweza kwenda kwenye apartment ya kulipia au ukinunua kuna watu wa kila aina wengine wanakukera?

Ukizingatia Government za Africa vitu vyao hawaendelezi si kujitia Kaa la moto kununua apartments zao wasizoendeleza.

Nadhani ardhi ingekua changamoto bongo tungekua tunapigia hesabu ya kumiliki apartments ila hesabu yetu ni kumliki mjengo wa kueleweka unalaza gari ukitoka nje unakagua miti, yaani hakuna wa kuleta kelele, Apartments zinakua option incase ukiwa na shughuli mjini sana.

Samia ameifufua Kawe apartments may be anajua anachofanya.

Ila No moja ndio ilifanya tupunguze kujenga maghorofa mengi Dar na apartment.

Mzigo ulihamishiwa DODOMA CITY

Still na huko Dodoma check vizuri watu wanaenda kuangusha mali zao wenyewe.

Binafsi napenda Apartments ila ukiwaza ipo chini ya Government alafu Gov inajulikana haipo serious na miradi yao unawaza ununue au ukae mambo yakichange itakuaje.
 
Sector yenu ya real estate serikali ndio mwekezaji mkuu. Yani serikali ikibanwa kidogo tu hivi hakuna kinachoendelea. Private sector hawako kabisa tofauti na huku kwetu ambapo private sector is the major player in real estate sector. Ki ufupi ni kwamba ordinary tanzanians don't have the financial muscles
Demands mkuu, nyie kwenu kuna demands ya apartment ila sisi ni tofauti demands ipo kwa nyumba za kumiliki mwenyewe ndio maana makampuni ya Ujenzi na viwanja ni mengi sana.

Private wamehamishia nguvu huko wanakujengea nyumba kabisa unawapa kiwanja unakabidhiwa funguo tu.
 
Back
Top Bottom