Hizo nyumba zote za miji mikongwe.And the houses...View attachment 3063165View attachment 3063166😂😂😂😂😂
Yani hapo ukiuliza mtu nani alijenga utaambiwa babu yangu mwaka 1970s.
Hizo nyumba zote za miji mikongwe.And the houses...View attachment 3063165View attachment 3063166😂😂😂😂😂
Sasa hii picha liyoleta (which looks like South B to me) unawezalinganisha na uswazi zenu za Dar? Umepagawa?
Zingine za 1970s ndio hii.Hizo nyumba zote za miji mikongwe.
Yani hapo ukiuliza mtu nani alijenga utaambiwa babu yangu mwaka 1970s.
Kama huoni hiyo ni slum basi una safari ndefu ya kujitambuaSasa hii picha liyoleta (which looks like South B to me) unawezalinganisha na uswazi zenu za Dar? Umepagawa?View attachment 3063167
Hata mpangilio tu wa nyumba unaona Iko sawa na uswazi zenu?
Alaf kumbe kampuni ya mzungu foreigner 😂😂
In Kunyaland slum sio kitu cha kutafutaZingine za 1970s ndio hii.
View attachment 3063169
Living in denial as always
TPA nayo haina huruma. Kumbe nayo ilijengwa 1970s?
And then they wonder why their government is coming to built a twin tower in Upperhill 😂😂🤣GTC Yote ilishaajaa, nyumba saba zote over 30 floors halafu jengo moja la 35 floors pekee miaka tisa halijajaa. 🤣 🤣
😂😂😂😂😂Ona ulivyo punguani.Zingine za 1970s ndio hii.
View attachment 3063169
Living in denial as always
TPA nayo haina huruma. Kumbe nayo ilijengwa 1970s?
Kwani mna SGR???
Is it true TPA is half empty?Tangu TPA imealizike, tumejenga skyscrapers ndefu kuishinda na zishaajaa TPA bado iko pale pale.
Britam, UAP, GTC. 88 pia itakamilika ijae kama TPA ipo pale pale.🤣🤣.
Maneno mengi ya nini? SI kila siku mnatubie hapa kwamba nyinyi mnanunua viwanja na kujenga dreamhouses zenu? Iweje leo Tena imekuwa eti hizi nyumba zilijengwa na mababu zenu miaka za sabini?😂😂😂😂😂Ona ulivyo punguani.
Lile ni ghorofa laweza kuonekana kwa umbali mkubwa hasa ukiwa umechukua AERIAL VIDEO kama hivyo.
Acha ujinga.
Embu tizama Posta ilipokuwepo TPA towers na zamani je zinafanana!?
Yani imechukuliwa aerial view kiasi hadi Ilala inaonekana ukaichomeka na Ilala kuwa ni Temeke Chang'ombe.
😂😂😂😂Temeke ni mji mkongwe kabisa.
Demand rules supply. Mbona waijenge Dar na wanunuzi or even tenants hawako. Mifukara watie pesa za kurent wapi?And then they wonder why their government is coming to built a twin tower in Upperhill 😂😂🤣
Kwamba Buru Buru na Westlands ni slums? 🤣🤣🤣In Kunyaland slum sio kitu cha kutafuta
View attachment 3063177View attachment 3063178View attachment 3063179View attachment 3063180View attachment 3063181View attachment 3063183View attachment 3063184View attachment 3063185View attachment 3063186View attachment 3063187View attachment 3063188View attachment 3063189View attachment 3063190View attachment 3063191View attachment 3063192View attachment 3063193
Hii source imetengenezwa na mkunya,kunyaland aistahili hapo ilipo yan uganda ipo juu ya kunyaland,africa nchi inayoongoza kwa slums ni kunyaland
Nimemwambia alete hiyo report boda hajarudi kucomment😂😂Bongolala, if that was the case, these apartments wouldn't be mushrooming up day and night in Nairobi. Unafikiri wawekezaji ni wajinga wawekeze mabilioni ya pesa wakijua hakuna wanununuzi wa hizo nyumba? It's called supply and demand. There wouldn't be any supply kama demand haingekuwa. Basic economics.
Nyinyi kama hamba uwezo wa kununua nyumba huko kwenu ndio maana ujenzi wa apartments ulifilisika kaa kando tuwaoneshe jinsi mambo yanavyfanyika.
As I type this, I know of about seven different apartments in Nairobi (all 20+floors) under construction na zote ni za kuuzwa.
Lastly, can you share with us that report indicating that most residential apartments for sale are empty
Ndotoni 😂😂🤣Mnajenga wapi? 🤣🤣
Hawa nyang'au huwa hawataki kukubali kuwa kuna slums Nairobi. Inasikitisha kwa kweli😎😎😎