Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
75%? Hiyo ndio data ulipewa na sisiemu?Mdomo wao hao si wa kuuzingatia wachukulie kama wehu wanaojifariji,uliona wapi nchi yenye 75% ya watu wake kuishi slums wajisifie wana makazi mazuri,kama si wehu kitu gani
Buildings zao zote refu ziko vacant, look at these vile viko empty.Is it true TPA is half empty?
Na jinsi mibongolalala wanavyopiga kelele huku.
And just to imagine that certain apartments and even office buildings in Nairobi are sold off-plan! Kweli gatuko level Moja. Na bado wanashangaa mbona Nairobi highrise buildings zinachipuka kila siku
Mimi namjua. He also arrived second in the morning 🤣🤣🤣Wewe nae huyo anaehojiwa na anaehoji wote sawa. Siku hizi kila mwenye tiktok au any social media account anakuwa mwandishi. Acha kuvunjia heshima journalists. Huyo hamorapa sijui kitu gani unamfahamu?
Usinichekeshe naona unanichekesha.Maneno mengi ya nini? SI kila siku mnatubie hapa kwamba nyinyi mnanunua viwanja na kujenga dreamhouses zenu? Iweje leo Tena imekuwa eti hizi nyumba zilijengwa na mababu zenu miaka za sabini?
Ldc ni ldc tu. This is sad for investors to be honest. This explains the lul in construction of high rise buildings in Dar. No wonder zingine pia take ages to completeBuildings zao zote refu ziko vacant, look at these vile viko empty.
Na ujue hapo ni saa moja.
View attachment 3063214
Huyo karudi tena na vi apartment vyake hivyo hivyo miaka nenda rudi, utasikia lunda, tangu 2017 kitu pekee anachojivunia na kinachomfanya aendeleze battle ni apartment nzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅Wacha kujitoa ufahamu bongolala. Itawachukia miaka na mikaka kuwachana na uswazi na kujenga nyumba za maana kama apartments for sale like these ones below
View attachment 3062739View attachment 3062740View attachment 3062741View attachment 3062742View attachment 3062744View attachment 3062745View attachment 3062746View attachment 3062747View attachment 3062748View attachment 3062751View attachment 3062755View attachment 3062764View attachment 3062765View attachment 3062772
The best that Tanzanians can afford are lowlife uswazi hovels you call dream houses that have spread throughout your glorified fishing village
Tuonyeshe hizo zenu mpyaHuyo karudi tena na vi apartment vyake hivyo hivyo miaka nenda rudi, utasikia lunda, tangu 2017 kitu pekee anachojivunia na kinachomfanya aendeleze battle ni apartment nzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
Kwa hivyo hao wanaoishi kwenye hizo hovels za temeke na changombe ni wakenya?Usinichekeshe naona unanichekesha.
Leta picha za Kisota,Kijichi na maeneo mengine ambapo ndio kuna makazi mapya yamejengwa.
Temeke Chang'ombe hakuna kiwanja,nani kakwambia unaweza kununua kiwanja Temeke Chang'ombe!??
Point yako kuu umeisahau!?Kwa hivyo hao wanaoishi kwenye hizo hovels za temeke na changombe ni wakenya?
Kubabake zaidi ya nusu ya Kenyans 😂😂
Normal streets za Nairobi...Ldc ni ldc tu. This is sad for investors to be honest. This explains the lul in construction of high rise buildings in Dar. No wonder zingine pia take ages to complete
Naona CAF standard stadium wow😂😂😂
View: https://x.com/CapitalFMSport/status/1820772452756340837?t=7Rh7lu-PID3zuO1HKIyTSg&s=19
Normal streets za Nairobi...
Yaan mnaishi kwenye hizi concrete slums Zaidi ya 90% ya Nairobians...mko hapa kutamba utupu tu.
Watanzania hawakai kwenye mazingira haya
View: https://youtu.be/U4UyD4T0CKc?si=rd88Pu5e73fBNdKc
Basi Chang'ombe ni upper middle-classPoint yako kuu umeisahau!?
Sio Temeke na Chang'ombe ila ni Temeke Chang'ombe.
Si wewe ukisema kuwa Chang'ombe ni mid class ya WaTZ!?
Jibu ni big NO.
Mid class ya TZ haipo Chang'ombe.
Picha ya juu nyumba za tofali pia hakuna shida hakuna uchafu kama matakataka yaliyo kwenye slums za Nairobi.Of course hamuishi kwenye mazingira kama hayoView attachment 3063225View attachment 3063228
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Basi Chang'ombe ni upper middle-class
Jezi ya Gor Mahia inauzwa sh ngp 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimeshangaa sana watanzania wakisema tsh 45000 ni pesa nyingi kwa jerseys. 😂😂😂
Ukiniletea article inasema iko mbele ya Tanzania kwenye real estate naondoka jamiiforums, ila mm naweza nikakuletea hundreds of articles zikisema vice versa.Umeanza utoto sasa