Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Ziko wapi?Sasa kwani hizi magorofa hakuna Tz au.? Nashindwa kukuelewa wewe punguni. 😂😂
Zaidi ya nusu ya Dar hakuna magorofa.
Uswazi kila eneo
Ziko wapi?Sasa kwani hizi magorofa hakuna Tz au.? Nashindwa kukuelewa wewe punguni. 😂😂
Nimerudia hii kitu mpaka nimechoka, apartment nyingi zina plans za kununua na kumiliki kando na rentingDemands mkuu, nyie kwenu kuna demands ya apartment ila sisi ni tofauti demands ipo kwa nyumba za kumiliki mwenyewe ndio maana makampuni ya Ujenzi na viwanja ni mengi sana.
Private wamehamishia nguvu huko wanakujengea nyumba kabisa unawapa kiwanja unakabidhiwa funguo tu.
Of course tunajua mnapenda kuishi kwenye uswazi hovels aka dream housesHawa akili zao ziko corrupted. Wanaamini kila mtu anapenda kuishi kwenye apartments.
Kwani mna SGR???SGR mliwika hivihivi!
Pia yanga EQUITY BANK imetoa msaada.Simba Day tu.
Tunajua mko na dream houses kule vingunguti, Chang'ombe, Mabibo, Mazense, Mwananyamala, Tandale, Buguruni, na maneno mengi tuSisi hatuna slum. Nyumba mbaya zipo ila sio slum kama zile za Kibera. Hatuna.
Kila mtu anajua hilo. Haya tuambie wewe umenunua au una rent apartment?Nimerudia hii kitu mpaka nimechoka, apartment nyingi zina plans za kununua na kumiliki kando na renting
Bongolala, if that was the case, these apartments wouldn't be mushrooming up day and night in Nairobi. Unafikiri wawekezaji ni wajinga wawekeze mabilioni ya pesa wakijua hakuna wanununuzi wa hizo nyumba? It's called supply and demand. There wouldn't be any supply kama demand haingekuwa. Basic economics.Niliona report leo majengo yao mengi ya apartments hazina watu. 😂😂😂
Zile "sold wakati wa ujenzi" ni aina ya marketing tu.
Mnajenga wapi? 🤣🤣Kwahiyo Tanzania haijengi?
Mimi najenga nyumba yangu, saivi naishi kwa apartmentKila mtu anajua hilo. Haya tuambie wewe umenunua au una rent apartment?
Usijisumbue nae huyo mbwa, kazi ni kubweka 😂😂😂Bongolala, if that was the case, these apartments wouldn't be mushrooming up day and night in Nairobi. Unafikiri wawekezaji ni wajinga wawekeze mabilioni ya pesa wakijua hakuna wanununuzi wa hizo nyumba? It's called supply and demand. There wouldn't be any supply kama demand haingekuwa. Basic economics.
Nyinyi kama hamba uwezo wa kununua nyumba huko kwenu ndio maana ujenzi wa apartments ulifilisika kaa kando tuwaoneshe jinsi mambo yanavyfanyika.
As I type this, I know of about seven different apartments in Nairobi (all 20+floors) under construction na zote ni za kuuzwa.
Lastly, can you share with us that report indicating that most residential apartments for sale are empty
Slum in NairobiView attachment 3062793
Mnaoishi kwenye slums amuishiwi vituko
Hizo eneo zote ulizotaja ni sehemu ya wafu wa hali ya chini.Slum in Nairobi View attachment 3063138
Dar middle-class area🤣🤣🤣🤣
View attachment 3063140
Swali ni je, sasa vituko ziko wapi kati ya hizi sehemu mbili?
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Kuna muda mwingine unakuaga na ubishani wa kipumbavu sana.
There you go.Mimi najenga nyumba yangu, saivi naishi kwa apartment