Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 879
- 1,040
Haya basi, Karen ni mtaa wa Kikongwe hapo una excuse, vipi Kahawa Sukari ambao umejengwa in the past 15 years? Vipi Runda ambao umeanza kujengwa the last 50 years na 90% ya majengo yako less than 10 years old? Mbona mitaa ya Kenya ya kifahari mipya kuliko hiyo Mbezi ina lami? Vipi Syokimau mtaa wa less than 15 years una lami?Tatizo lako wewe hunaga akili hata moja, wivu wa kimaendeleo umekushika mpaka unakuwa mpuuzi, huo ni mji mpya nyumba nyingi hapo hazina hata 4 years, usifananishe na mji mkongwe na wakizamani kama Karen, alafu nmekusikia ukisema hakuna lami, haya ni mata.ko yako haya 👇👇View attachment 3063551
Hii hapa Runda. Sehemu kongwe ya Runda ni ile iloyoko karibu na UNEP na ilijengewa wafanyikazi wa UNEP miaka ya 70s. Hizi sehemu zingine ni mpya sana 90% zimejengwa kwa miak 15 iliyopita na nyingi bado zina mashamba ya kahawa yet lami ipo 100%. Sehemu ikijengwa nyumba mpya huohuo mwaka inapigwa lami.
View: https://youtu.be/BLcBtJ1Hmas
Hii hapa Kahawa Sukari. Huu mtaa una chini ya miaka 20 tangu uanze kujengwa, lami 100%. Wacheni excuses. 🤣 🤣