Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuanze sasa ma bomb

1722941025116.png
 
Mlishaafika negotiation stage na hamkusema.
1. January, new renders this thing will never get built. AFCON will be hosted in Tanzania only.
2. March, the stadium is launch - they'll launch then let it rot. They'll never build it.
3. April, construction ongoing - Uwanja ni wa mchina. Mkenya hapo ni tenant tu.
4. May, Foundation complete - Huu uwanja hautofanana na render kabisa.
5. August - Columns rising - Naona mafundi wa Kenya, tutegemee Jua Kali stadium.

Meanwhile, uwanja wao wa Arusha since launchi hata nyasi pekee haijakatwa kwa site. 😅😅😅😅
Umia kidogo komora,hiyo ni juzi ndani benjamin mkapa!kunyan mngekua n akili sgr yetu ingekupeni somo kubwa sana,eti mnataraji kuona jua kali stadium,mshasahau miaka 4 nyuma mlichokua mnasema kuhusu sgr!
 

Attachments

  • yangasc_20240805_reel_3428152943326118838_1_3428152943326118838.mp4
    17.7 MB
Ukiwa Mshabiki wa timu ya Yanga lazima dishi liyumbe kidogo 🤣 🤣 🤣 🤣

Nilichokuwa nakiongelea mimi ni Simba Day ilikuwa imepangiliwa vizuri sana dhidi ya Yanga Day
Nikasema hata ukienda kwenye social media za timu utaona namna ya Contents zilivyoweka.

Linakuja Liutopolo hapa linaanza bragging za Kikenya mara oh!! timu yetu ni bora kuliko timu zote, mara oh!!

Sasa mimi naongelea Simba Day dhidi ya Yanga Day

Simba Day ya 16
halafu Yanga Day ya 4

Huyu DJ wa kike wa Simba
DJ Sinyorita

View attachment 3062707

Officer Habari wa Simba akiingia Stage

View attachment 3062708

Officer Habari wa Simba Akiongea na mashabiki

View attachment 3062709

Picha ya Squad ya Simba

View attachment 3062711
Everything Simba was arranged professionally

Sasa hebu tupatie arrangement ya matukio ya yanga sasa.
Uswahili Mwingi na kukosa weledi
Hili ndio kombe lenu kipindi hiki,Yanga wenyewe wamefurahi na kuenjoy ww umekaza fuvu mpangilio kuna mtu wa Yanga aliekuambia hajapenda ule mpangilio,kama kuvuruga wamevuruga Yanga ya nn sasa uteseke ww!
 
Back
Top Bottom