Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Ikikamilika... as if inajengwa😂😂I
Ikikamilika utaoneshwa.
Ikikamilika... as if inajengwa😂😂I
Ikikamilika utaoneshwa.
😂😂😂😂😂 ila wakiona hii Wataumia Sana
View: https://x.com/MakaleDorcus/status/1820096611751755886?t=pjGRa16FyzBcfeql4Zc2fQ&s=19
View: https://x.com/MakaleDorcus/status/1820377622070604145?t=8SypCgNDj_VBakgNGzNnkg&s=19
View: https://x.com/Its_wyckey/status/1820153822687461577?t=lG9GxTw7c7uNJvmv_WyY1w&s=19
View: https://x.com/SiayaFinest041/status/1820092765763457283?t=fk_vfvKeLdi9e5ij9TVELw&s=19
Tuonyeshe picha/video tuoneKwahiyo Tanzania haijengi?
Mnamiliki biggest slum in the word75%? Hiyo ndio data ulipewa na sisiemu?
Lini ili handle hiyo ndege.Bwana watchman ebu tuambie hizo facilities za kuhandle A380 zenye JKIA haina but mabati rolling ziko nazo ni kama gani?😂😂🤣🤣.
Don’t forget to attach supporting documents 😂
Sawa bongolala. Happy now?Mnamiliki biggest slum in the word
Parklands pia amesema ni slum. 🤣 🤣 🤣Kwamba Buru Buru na Westlands ni slums? 🤣🤣🤣
View attachment 3063199View attachment 3063200
Kama hizo sehemu mbili ni slums, hii hapa tutaitaje? Jehanamu?View attachment 3063202
Mjinga mpe cheo 😂😂Sawa bongolala. Happy now?
Hahahahaaaa kwa kupost hivi ndo mnadhani mtapata mechi na Yanga? Yanga ilipofika kwa sasa haichezi mechi na timu ndogo ndogo, hatuchezi kwa kujifurahisha tunacheza kwa focus, we unadhani mchezaji kama Aziz Ki aumie kwenye mechi ya ndondo na timu isiyo na malengo unadhani itakuwaje, hakuna mechi mkitaka kuijua Yanga vzr pambaneni mfike mtoano alafu mkutane na Yanga, ila kwa sasa 👇👇😅😅😅😅😅😅😅😅
Yanga ni mchumba kwa Gor mahia 👇😂Hahahahaaaa kwa kupost hivi ndo mnadhani mtapata mechi na Yanga? Yanga ilipofika kwa sasa haichezi mechi na timu ndogo ndogo, hatuchezi kwa kujifurahisha tunacheza kwa focus, we unadhani mchezaji kama Aziz Ki aumie kwenye mechi ya ndondo na timu isiyo na malengo unadhani itakuwaje, hakuna mechi mkitaka kuijua Yanga vzr pambaneni mfike mtoano alafu mkutane na Yanga, ila kwa sasa 👇👇😅😅😅😅😅😅😅😅View attachment 3063244View attachment 3063245
Nnimependa ulivyochangia. Hauna mihemko kama wengine wenu humu. Points zako zinasikikika ila ningependa kukukosoa kidogo.1. Government priorities
Enzi za kikwete Kigamboni, kawe etc ilikua na mambo ya kujenga jenga magorofa.
Magufuli akaja akaona kama pesa zinaenda kusiko na faida huku wanainchi wana kero nyingi. Ndio akazihamishia kwenye miradi ya kimkakati I hope unaijua.
Imagine KIGAMBONI bridge lina Toll, ila all Magufuli bridges hayana Tolls.
So miradi ya nyumba ikasimama only ile ambayo ni more important Magufuli Hostels, Wafanyakazi, Kota za Magomeni.
2. Watu wabishi.
Nikuulize ukiwa na Access ya ardhi ya kujenga Hekalu lako ambalo.utafanya utakavyo utaweza kwenda kwenye apartment ya kulipia au ukinunua kuna watu wa kila aina wengine wanakukera?
Ukizingatia Government za Africa vitu vyao hawaendelezi si kujitia Kaa la moto kununua apartments zao wasizoendeleza.
Nadhani ardhi ingekua changamoto bongo tungekua tunapigia hesabu ya kumiliki apartments ila hesabu yetu ni kumliki mjengo wa kueleweka unalaza gari ukitoka nje unakagua miti, yaani hakuna wa kuleta kelele, Apartments zinakua option incase ukiwa na shughuli mjini sana.
Samia ameifufua Kawe apartments may be anajua anachofanya.
Ila No moja ndio ilifanya tupunguze kujenga maghorofa mengi Dar na apartment.
Mzigo ulihamishiwa DODOMA CITY
Still na huko Dodoma check vizuri watu wanaenda kuangusha mali zao wenyewe.
Binafsi napenda Apartments ila ukiwaza ipo chini ya Government alafu Gov inajulikana haipo serious na miradi yao unawaza ununue au ukae mambo yakichange itakuaje.
Mahali desperation imewafikisha ni pabayaParklands pia amesema ni slum. 🤣 🤣 🤣![]()
![]()
![]()
Ni miaka mingapi imepita!?Yanga ni mchumba kwa Gor mahia 👇😂View attachment 3063248
Ukisema utafiti wanaomiliki ardhi Dar basi unaweza kuta more than 60% wanamiliki ardhi.Nnimependa ulivyochangia. Hauna mihemko kama wengine wenu humu. Points zako zinasikikika ila ningependa kukukosoa kidogo.
About government priorities, hapo upo sawa. Kila serikali inapoingia inakuja na priorities zake. Huku kwetu, kwa sasa serikali umeweka kipao mbele ujenzi wa affordable houses ila private sector ndio bado wako kwenye mstari wa mbele kudevelop nyumba za kuishi Kenya, which is a sharp contrast na huko kwenu.
Secondly, about building your own house or buying an apartment unit nadhani hauko sawa. How many people in Dar own land? I can guess not even a quarter of the residents do. Which option, therefore, does the remaining three quarter have if not renting or buying an apartment? We need to be realistic here. Dar has six million residents. Of these, ni watu wangapi wako na uwezo w kununua ardhi na kujenga? Nauliza hivyo Kwa sababu umesema bongo ardhi si changamoto.
Na kama ni kweli an ordinary Dar resident ako na huo uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga nyumba Kwa design anavopenda, (what you've christened hekalu) basi uswazi lisingekuwa jambo la kawaida Dar kwa sababu mimi pica za Dar ninazojua na kuziona mitandaoni, zaidi ya nusu ya Dar ni uswazi.
Demands mkuu, nyie kwenu kuna demands ya apartment ila sisi ni tofauti demands ipo kwa nyumba za kumiliki mwenyewe ndio maana makampuni ya Ujenzi na viwanja ni mengi sana.
Private wamehamishia nguvu huko wanakujengea nyumba kabisa unawapa kiwanja unakabidhiwa funguo tu.
Na ni nani alikuambia kwamba hauwezi ukamiliki nyumba kwenye apartment? Nairobi apartments nyingi zinazojengwa haswa in Kilimani, Kileleshwa, Westlands, Parklands, Hurlingham, Lavington, South C, na maneno mengi ni za kuuzwaDemands mkuu, nyie kwenu kuna demands ya apartment ila sisi ni tofauti demands ipo kwa nyumba za kumiliki mwenyewe ndio maana makampuni ya Ujenzi na viwanja ni mengi sana.
Private wamehamishia nguvu huko wanakujengea nyumba kabisa unawapa kiwanja unakabidhiwa funguo tu.
Normal streets za Nairobi...
Yaan mnaishi kwenye hizi concrete slums Zaidi ya 90% ya Nairobians...mko hapa kutamba utupu tu.
Watanzania hawakai kwenye mazingira haya
View: https://youtu.be/U4UyD4T0CKc?si=rd88Pu5e73fBNdKc
Wanekuja kusaidia masikiniSiwezi kushangaa kama Ukunyani hawadhamini club zenu kama za Tanzania!
Name the facilities idiot, no wonder wewe ni watchman😂. There’s no aircraft that can’t land in JKIA.Lini ili handle hiyo ndege.
Hii barabara inapanuliwa to double carriageway. Kesho ntaleta picha.Parklands pia amesema ni slum. 🤣 🤣 🤣![]()
![]()
![]()