Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

30% is being too optimistic. Hapo Mbezi lami haifiki 5%. Sasa hii Mbezi eti mtaa wa Kifahari unaolinganishwa na Karen. Wewe umeona hata barabara moja ya lami? Unakosea Syokimau na utawala heshima kuzilinganisha na huu upuzi.

20221124_135741-jpg.2439637
Kama matajiri wanaishi hivi je hawa wa jf...
 
30% is being too optimistic. Hapo Mbezi lami haifiki 5%. Sasa hii Mbezi eti mtaa wa Kifahari unaolinganishwa na Karen. Wewe umeona hata barabara moja ya lami? Unakosea Syokimau na utawala heshima kuzilinganisha na huu upuzi.

20221124_135741-jpg.2439637
Tatizo lako wewe hunaga akili hata moja, wivu wa kimaendeleo umekushika mpaka unakuwa mpuuzi, huo ni mji mpya nyumba nyingi hapo hazina hata 4 years, usifananishe na mji mkongwe na wakizamani kama Karen, alafu nmekusikia ukisema hakuna lami, haya ni mata.ko yako haya 👇👇
Screenshot_20240807-103509~2.png
 
Nimeona umelia sana nikujibu. Uzuri wangu mimi hujibu mambo kwa facts. Eneo unaloongelea hili hapa. Area = 38 sq. km
View attachment 3063504


Karen hii hapa, Area 64 sq. km.
View attachment 3063505
Hivi 64 sq.km na 38 sq. km gani kubwa? Na usikwepekwepe kama ilivyo kawaida yenu maanake nimevumilia sana kujibu kima asiye na akili kama wewe. Kawaida yangu huwa sijibizani na vinyangarika ambayvo havijakanyaga nje ya nchi zao.
Hold hapo hapo 😂😂😂😂nakurudia we mpumbavu
 
Yanga ni mchumba kwa Gor mahia 👇😂View attachment 3063248
No mechi between Yanga and Gor Mahia, mkitaka kuijua Yanga vzr pambaneni mfike mtoano alafu mtajua hamjui, bingwa wenu wa Kagame cup juzi umeona kilichomkuta japo Yanga haikuwa serious na wala haikuweka full mkoko, kumbuka Gor Mahia ilitolewa mwanzoni kabisa kwenye hilo kombe la mbuzi ambapo vigogo vitatu kutoka Tanzania vilikataa kushiriki.

My take, endelea kujiliwaza na picha za kitambo ila ukitaka kujua ukubwa na uzito wa Yanga pambaneni mfike mtoano.
 
Back
Top Bottom