RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,452
- 135,177
Wanakwambia wanakijua kizungu. Huyo ni journalist eti, Sasa mtu ambaye hajaenda shule ataongea Nini kama huyu ndio journalist wao?🤣🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZMrV1PnW4/
RRONDO
Wewe nae huyo anaehojiwa na anaehoji wote sawa. Siku hizi kila mwenye tiktok au any social media account anakuwa mwandishi. Acha kuvunjia heshima journalists. Huyo hamorapa sijui kitu gani unamfahamu?