Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Sijaona mtanzania akienda kunyaland kushangaa ule mkweche wao
Tatizo hamna hela mnajifungia mbagala mkinywa gongo 😂😂😂Sijaona mtanzania akienda kunyaland kushangaa ule mkweche waoView attachment 3063411
😂😂😂😂😂
View: https://x.com/bwazacode26/status/1820855971494941056?t=wk7TTSNnZ40S8wYOjfAzdw&s=19
View: https://x.com/MdemuPolycarp/status/1820927403721437513?t=BXFaY85ucmCPOkZOju62Fg&s=19
View: https://x.com/anyonje_frank/status/1821044418104770662?t=PKH3NyDS-qBU0-qkuhCriQ&s=19
View: https://x.com/brian_adongo/status/1820853744033988612?t=EUsSJdIvoSKeqNrap4YwXg&s=19
View: https://x.com/kulujenda_/status/1820922772383490135?t=3AHZbkPO1RBr-xojiBCMsg&s=19
Wenye hela mmejichimbia kibera mkinywa chang'aaTatizo hamna hela mnajifungia mbagala mkinywa gongo 😂😂😂
Wakenya bhana 😀 😀 😀 hadi huruma.Tatizo hamna hela mnajifungia mbagala mkinywa gongo 😂😂😂
Kwa hivo unadhani Nairobi hamna nyumba za compound ama Nini? Hujui Nairobi utachagua unapotaka kuishi? Halafu pia usidhani apartment za kuuza zinazojengwa Nairobi ni vi-apartment ovyo ukigombana na bibi neighbor anaskia. Hizi ni apartment za maana zenye sound proofing ndio maana ni Bei ghali kuliko kujenga nyumba yako mansion mitaa kama ya Syokimau.Unafeel freedom? Ile freedom ya eneo lote ni lako?
Ukinunua apartment hapo alafu ulete kelele na kero kwa wenzako si unaondolewa?
Huwezi fananisha apartment ambayo mko wengi na kumiliki nyumba+land ambayo ni yako mwenyewe na unafanya utakavyo.
Mwarabu Bonoko kutoka Yemen hajui watu wanatoka Marekani kuja kuishangaa Nairobi, yeye akiona Mkenya Bongoland anadhani Mkenya kaona kwao kuzuri kushinda Kenya.😂😂Tatizo hamna hela mnajifungia mbagala mkinywa gongo 😂😂😂
😂😂😂😂wewe ni muongo mpumbavu wewe always.. ukichukua kuanzia oyster bay kufika mbezi beach ukanda wa bahari wote huo ni mansions ndio zipo huko huo upande unaweza kulingana na nusu ya Nairobi nzima 😂😂😂 ulishawahi kufika Dar.? 😂😂😂Halafu hawajui likina swali la mansions za kumilikiwa pia zipo nyingi ndani na nje ya Nairobi. Ndani ya Nairobi maeneo kama Karen, Runda, Muthaiga, Utawala n.k ni mansions za kumilikiwa. (Ikumbukwe eneo kama Karen pekee ni kubwa kuliko mitaa yote ya Kifahari Dar combined) Alafu Kuna maeneo nje ya Nairobi kama Kahawa Sukari, Runda ya juu, Kiambu, Syokimau, Ngong, Kiserian, Kitengela, Rongai, Athi River n.k nyumba ziko kibao mansions za kumiliki.
Ni kawaida ya kunyalanders kuja kufanya tourism in Tanzania, wengi wenu mnakujakushangaa maendeleo ya bongo, wewe jamaa mbona ni mpumbavu na mtu muongo .? 😂😂😂Mwarabu Bonoko kutoka Yemen hajui watu wanatoka Marekani kuja kuishangaa Nairobi, yeye akiona Mkenya Bongoland anadhani Mkenya kaona kwao kuzuri kushinda Kenya.😂😂
Uganda pia tunaenda, Rwanda tunaenda, Burundi tunaenda, DRC tunaenda, Ethiopia tunaenda. Hakuna cha kushangaza hapo wee kima. Sisi ni watalii na Mkenya akipata pesa kutalii ni lazima. Najua mnapenda approval ya Wakenya ila msidhani mko special.Ni kawaida ya kunyalanders kuja kufanya tourism in Tanzania, wengi wenu mnakujakushangaa maendeleo ya bongo, wewe jamaa mbona ni mpumbavu na mtu muongo .? 😂😂😂