chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,122
Huwa wana hizo pictures tu, wanafosi kweli tufanane ila pictures ndio tatizo inawalazimu kufake pictures ili waende sambamba 😅Picha ya kwanza ipo kwenye report ya unhabitat ya mwaka 2009 (director wake akiwa ni mbongo Prof Anna Tibaijuka) link hii hapa https://unhabitat.org/sites/default...iles/Tanzania Dar es Salaam Urban Profile.pdf
View attachment 2487383
Picha ya pili ni mwaka 2012 (link hii hapa, The Harbor Slums Of Dar Es Salaam In Tanzania Editorial Stock Photo - Image of salaam, port: 90690013)
View attachment 2487375
Picha ya tatu na nne nazo ni za mwaka 2012 (link yake hii hapa, The street market of the city of Dar Es Salaam in Tanzania, 26. September 2012)
View attachment 2487376
Picha ya mwisho link yake hii hapa Repercussions of Improved Municipal Solid Waste Management on Flood Risk Reduction: The Case of Dar es Salaam, Tanzania
Hatutaki picha za zaman, tunataka picha za either mwaka huu au mwaka jana. Kila mtu zaman maisha yake yalikuwa duni, wengine tulianza maisha tumepanga kwenye vibanda lkn saiz tumeendelea kimaendeleo na kujenga nyumba nzuri tu. Nyie pamoja na GDP kubwa, maisha yenu bado ni duni sana









