Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtu anaweza kuishi na hawa wapumbavu, Samia aliona kama Magu alikua anawaonea ila nafikiri ushamba wa madaraka unamuisha taratibu na kuona wakenya ni watu wa aina gani.

Hajanunua parachichi changa kwa bahati mbaya, kanunua na atipaki kwa nembo ya Tanzania ili kuharibu soko la parachichi za Tanzania kimataifa
 
Sisi nye nye nyeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2023-01-18-16-45-39.png
images (100).jpeg
images - 2023-01-18T203626.464.jpeg
images - 2023-01-18T203636.213.jpeg
images - 2023-01-18T203651.667.jpeg
images - 2023-01-18T203658.016.jpeg
images - 2023-01-18T203844.260.jpeg
images - 2023-01-18T204318.444.jpeg
images - 2023-01-18T204337.529.jpeg

Screenshots_2023-01-18-16-11-37.png
20230118_161102.jpg
20230118_161111.jpg
 
Watakuambia Dar ya 90s.., na ni most recent past, poverty on display kwa maisha yao ya kawaida eti
.,
images-2023-01-17t223411-517-jpeg.2486189

gwu-presentation-of-map-kibera-11-2048-2-jpg.2486196

My favourite, nyumbani kwa akina The best 007 my mjukuu
images-2023-01-07t223732-564-jpeg.2486191
No plastic bags in Tz as we speak, picha za zamani sn alafu hyo picha ya mwisho nitakuwekea jinsi palivyo nowadays, sisi ni wastaarabu na elimu ilitusaidia tuliamua kubadilika sio kama nyie washenzi CBD imejaa matakataka, mamikojo, kinyesi yn ni watu wa kale sana nyie
tapatalk_1678035084_512x384.jpg
tapatalk_837234787_423x309.jpg
Screenshot_20230113-225620.jpg
tapatalk_-392870074_360x480.jpg
tapatalk_-1654485589_360x480.jpg
tapatalk_1373477958_384x512.jpg
 
Hakuna mtu anaweza kuishi na hawa wapumbavu, Samia aliona kama Magu alikua anawaonea ila nafikiri ushamba wa madaraka unamuisha taratibu na kuona wakenya ni watu wa aina gani.

Hajanunua parachichi changa kwa bahati mbaya, kanunua na atipaki kwa nembo ya Tanzania ili kuharibu soko la parachichi za Tanzania kimataifa
Huyu Bashe yuko very serious na maendeleo ya hii nchi, siku akipata idhini ya kupeperusha bendera ya CCM nitampigia kura asubuhi kweupeee, namuona Magufuli ndani yake, utauwa wengi ila wazalendo huwezi kuwamaliza alafu inapendeza ukiwa mzalendo alafu genius, na kwa bahati mbaya hakunaga mzalendo kilaza duniani.
 
Kweli kabisa, jamaa yupo real mno and he means business, ukimessup hakwepeshi, hao wakenya hawatamsahau sababu wamepata double kick, kwanza wamenunua parachichi kwa wakulima, wakiwa kwenye harakati za kuyapack kwa lebo ya Tanzania wakashtukiwa wakashurutishwa wakayatupe then na leseni wakafutiwa na Tanzania hawatakiwi kuonekana, hii kitu ni zaidi ya sugunyo na pelesu pelesu 😅😅😅
 
Back
Top Bottom