Tungeona hapa, Kapark wapi mkoko, kala nini lunch leo, ana ticket ya holiday wapi , anasukuma mkoko gani etc

kama Expressway na Majengo ya Mchina tunaonyeshwa hivi kila saa je private life kama wapo vizuri tungehama humu na album za picha. Kuna msela ana residence permit ya ulaya imeexpire miaka mingi lakini bado anayo na anatuonyesha humu


. Kuna mwingine ana lipiwa kila kitu na pisi mbovu yenye harrier na anajaza album za
fuckation humu . kuna mmoja alinunua bites za 3000 supermarket na katuwekea humu

. hata kama wanasema hawapendi show off, lakini vitu walivyonavyo kama simu, etc pia vibovu kuna jamaa alipiga picha za location kali huko kwao na device inayoaminika ya mwaka 2006

.
View attachment 2487662