Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzoaji taka, na kuzi recycle ni hela ndefu tu. Huku kwetu hadi uswahili kila nyumba inatozwa 5000 na taka zinazolewa kila muda, kwenye corpoate areas wanachukua 350,000 au zaidi kukusanya taka na kupeleka eneo husika, kwa Aggressive na Business minded kama wanavyojisifia wanashindwa kupiga hizi hela za wazi? au wananchi cant afford? 🤣 🤣 🤣

View attachment 2485897
Mbona unataja kitu cha kawaida sana? Eti garbage collection companies that charge households a fee for the services they offer? 😂😂😂WTF!
images - 2023-01-18T134446.142.jpeg
images - 2023-01-18T134653.865.jpeg
images - 2023-01-18T134630.846.jpeg
images - 2023-01-18T134446.142.jpeg


I have used this service in Nairobi for I don't know how long now hata nakushangaa tu

About recycling companies, please share with us solid waste recycling industry in Tanzania as a business, how many people it employs and its turnover tuone nimepinga hela ndefu kiasi gani. Usiwe unapayuka tu
 
Mbona unataja kitu cha kawaida sana? Eti garbage collection companies that charge households a fee for the services they offer? WTF! View attachment 2486087View attachment 2486089View attachment 2486091View attachment 2486092

I have used this service in Nairobi for I don't know how long now hata nakushangaa tu

About recycling companies, please share with us solid waste recycling industry in Tanzania as a business, how many people it employs and its turnover tuone nimepinga hela ndefu kiasi gani. Usiwe unapayuka tu
Huu upuuzi wenu wa kuficha uchafu kwa kujifanya mnajua kingereza ndio unaowa cost mpk mmefika hapa
tapatalk_1678035084_512x384.jpg
tapatalk_-1438020091_640x426.jpg
tapatalk_1783281033_512x494.jpg
image_downloader_1674023411141.jpg
 
Rangi ya maji ya huo mto ndo inashangaza aisee....

Itakuwa ndo flying toilets tunazosikia...na CBD ile?
That's raw sewage bongolala. And raw sewage and Dar ni kama chanda na pete. Only 10% of Dar residents are connected to sewage system na Mnashangaa ya Nairobi! 😂
Screenshot_20230118-140511~2.png


Raw sewage everywhere but as always, hizi ni picha za 70s
images - 2023-01-18T140319.413.jpeg
50958965601_555566a264_b.jpg
images - 2023-01-18T140202.601.jpeg
images - 2023-01-18T140224.379.jpeg
 
unaweza kudhani anafanya editing kumbe ni za kweli kabisaa.
Kuna nchi chafu mkuu hapa Afrika unaweza dhani ni utani cz huku kwetu hatuna uchafu kama huo, kwa hapa Africa nchi chafu zaidi ni Kenya unaambiwa Kenya mavi ya binaadamu yapo kila kona yn ukikata kona kushoto unakutana na mavi ukikata kulia kuna mavi
 
Ni midomo tu ndio ipo mbele . Mi wakiongeaga na hizi picha zinazowekwa zinakataaa kabisa. Hata kama ni baadhi ya Mitaa yaani ni Pamekaa kiboya sana. Ni kama eneo wamemwachia Mungu na wamebaki tu bora uhai.
 
That's raw sewage bongolala. And raw sewage and Dar ni kama chanda na pete. Only 10% of Dar residents are connected to sewage system na Mnashangaa ya Nairobi! View attachment 2486148

Raw sewage everywhere but as always, hizi ni picha za 70s View attachment 2486164View attachment 2486165View attachment 2486166View attachment 2486168
Hakuna hayo mambo Tz kwa sasa, Magufuli alibadilisha kila kitu, mitaro ilichimbwa kila mtaa siku nitaanza kupiga picha za baadhi ya mitaro iliyochimbwa mitaani, msifosi tufanane, sisi tulibadilika kitambo na tukastaarabika, haya mambo tumewaachia nyie wachafu kunuka.
tapatalk_1678035084_512x384.jpg
image_downloader_1674023411141.jpg
image_downloader_1674023031346.jpg
 
Back
Top Bottom