Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tall standard apartments are slowly eating up slums and informal buildings.
Nairobi, Pangani area
FNOWLLyXIAA-nr4

FNOWLfeWUAIz0S2

FLX0LbzX0AAM3zb
Slums haziishi kunyaland leo wala kesho acha kuota

Screenshot_20220715-062428_1.jpg
Screenshot_20220715-062442_1.jpg
Screenshot_20220715-062503_1.jpg
Screenshot_20220715-062558_1.jpg
Screenshot_20220715-062653_1.jpg
Screenshot_20220715-062731_1.jpg
Screenshot_20220714-111846.png
Screenshot_20220714-111904.png
Screenshot_20220807-052801.png
 
Developed ya nyoko labda...

Hao wanatafuta views...ila kuhalisia hakuna developed wala development ni uchafu mtupu...

Ni sehemu ndogo sana ya Nairobi kule Uptown ndo pasafi na mayoutuber wengi hupenda hapo...

Kule downtown hata hio mo avenue inayotenga uptown na downtown ni chafu...


Kwengine kote ovyo tu
Nenda ujinyonge,Kenya sio Tanzania nchi ya City moja na ka CBD kamoja, bladfwakin kabisa.., jikomboe kutoka hapakwanza kisha mje👇👇, hadi raha😂 😂 😂 😂 😂 😂
1674105355694.png

1674105367987.png

1674105380759.png

1674105389883.png

1674105401242.png

1674105505443.png
 
Siwezi tena ku battle na nyie wapumbavu, nchi yenu yote imejaa matakataka ni washenzi kweli kweli nyie.
Hii ndio ushenzi.., vumilia tu hapo ulipo, ni uchungu naelewa, ila utazoea na kunyooka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1674105556855.png

1674105565454.png

CBD mpya eti.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1674105597870.png

1674105606274.png

1674105637376.png

1674105617316.png
 
Kazi nzuri sana ya Rais Dk.Samia kuboresha sekta ya Afya.

Huduma kama hizi Kwa miaka yote iliyopita ulikuwa unaweza kuzipata Hospitali za Kanda pekee Kwa bei ghali sana..

Sasa zinapatikana Kila Hospital ya Mkoa Tanzania nzima 👇
 
Kilimani iko wap hapa...Maana naona CBD yenu kuu ya Nairobi...kama hio Media house kubwa hapo kenya...


Kama ni kule mbele baada ya expressway basi ni kama upanga tu...

Kwanza kilimani, kileleshwa na lavington ni sehemu ndogo mno...hata sijui kwa nini mlizitenganisha...
Ni kama Upanga yote ya Dar...

Basi tu mnakuza mambo
Ujinga ni laana nakuambia.., Dar ni Mombasa ndogo..., na uswazi ndio ukubwa wa jiji.., leta hiyo Upanga tufananishe tuone basi, hauoni hiyo distance?😂 😂 😂 😂 😂 😂
1674106983178.png


Dar kama Dar 😂😂😂😂😂😂😂😂
1674107042355.png
 
Back
Top Bottom