Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unataja kitu cha kawaida sana? Eti garbage collection companies that charge households a fee for the services they offer? WTF! View attachment 2486087View attachment 2486089View attachment 2486091View attachment 2486092

I have used this service in Nairobi for I don't know how long now hata nakushangaa tu

About recycling companies, please share with us solid waste recycling industry in Tanzania as a business, how many people it employs and its turnover tuone nimepinga hela ndefu kiasi gani. Usiwe unapayuka tu

Shida sio ipo tu, zinafanya kinachotakiwa? Picha anazoshare Ichoboy hata ukaze fuvu vipi hazibadilishi ukweli Jiji ni chafu na mmeelemewa. Eti Turn over kwa mwandiko tu tukiangalia mpo vizuri sana. Fanyeni usafi wakuu maneno yaendane na hali halisi.
 
That's raw sewage bongolala. And raw sewage and Dar ni kama chanda na pete. Only 10% of Dar residents are connected to sewage system na Mnashangaa ya Nairobi! View attachment 2486148

Raw sewage everywhere but as always, hizi ni picha za 70s View attachment 2486164View attachment 2486165View attachment 2486166View attachment 2486168
Kenya is rich
Screenshot_20230118-131331.jpg
 
Shida sio ipo tu, zinafanya kinachotakiwa? Picha anazoshare Ichoboy hata ukaze fuvu vipi hazibadilishi ukweli Jiji ni chafu na mmeelemewa. Eti Turn over kwa mwandiko tu tukiangalia mpo vizuri sana. Fanyeni usafi wakuu maneno yaendane na hali halisi.
Bongolala, umesema waste recycle is big business opportunity na umeshindwa in that front. Ndio nikakuuliza kwamba nyinyi ambao mshagundua hiyo biashara imewatengenezea hela kiasi gani? Stop beating around the bush.

Kulemewa sio kosa. Unawezalemewa leo kisha ukaweka bidii zaidi na ujikwamue kesho. Shida ni pale mtu mlemavu anacheka mlemavu mwenzake
 
Uyo boya anajifanya chizi kwamba haoni ushuzi unaotumwa na Ichoboy humu
 
Bongolala, umesema waste recycle is big business opportunity na umeshindwa in that front. Ndio nikakuuliza kwamba nyinyi ambao mshagundua hiyo biashara imewatengenezea hela kiasi gani? Stop beating around the bush.

Kulemewa sio kosa. Unawezalemewa leo kisha ukaweka bidii zaidi na ujikwamue kesho. Shida ni pale mtu mlemavu anacheka mlemavu mwenzake
Tuwe wakweli Tz haijafika level za Kenya kwa uchafu achana na mambo ya blind patriotism.
 
Kuna nchi chafu mkuu hapa Afrika unaweza dhani ni utani cz huku kwetu hatuna uchafu kama huo, kwa hapa Africa nchi chafu zaidi ni Kenya unaambiwa Kenya mavi ya binaadamu yapo kila kona yn ukikata kona kushoto unakutana na mavi ukikata kulia kuna mavi
 
Back
Top Bottom