Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Aah wapi, propaganda huwa hazinisumbui., mwambie achukue aerial view ya hayo maeneo tuone palivyo kwa upana na urefu.., ba mzee Nairobi sio Dar is slum, mwenzako anajaribu kujiliwaza tu..., Nairobi na Mombasa sio mwenzenu, kujiliwaza itabidi mtafute mapungufu yake ili mjisikie nafuu, kiukweli nyie bado sana, bado mko na sura ya kizamani na ufukara ulio tapakaa...,Mzee tuongee ukweli,sindano zimekuingia kisawasawa




