Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unayoonesha hapa ni Muranng'a Road Koja Roundabout ambayo iko nje ya CBD, picha ya kwanza ni Kimathi Street, mbele ya Nation Center ambayo iko ndani ya CBD. Hizo ni sehemu mbili tofauti. Onesha hiyo Kimathi Street kwa hiyo hali ya uhalisia unayoongeles tuione.
Kimathi street gani zaidi ya hii hapa ama kuna kimathi street nyingine hapo CBD.
Kimathi1.jpg
Kimathi2.jpg
 
Kwani ni haki maeneo ya nje ya CBD kuwa machafu na kunuka???



Mbona unaongea kama ni kawaida tu yaani...

Imagine hapa ni 12km from CBD...tazama palivyo pasafiView attachment 2486538
Hii barabara nayo mmeizungusha sana bana. Iacheni ipumzike. 🤣 🤣
Maeneo mengi Nairobi kilomita nyingi kutoka CBD ni masafi tu na yameendelea ila kuna maeneo chafu pia kama ilivyo hapo Dar. Hii miji yote ni third world, msijifanye hamna uchafu huko. Nilichokuwa nawaeleza ni kwamba CBD ya Nairobi sii chafu na imepangika kuliko CBD karibia zote Afrika ukitoa SA.

Eneo kama hili kwa mfano kilomita 30 kutoka CBD.
IMG_20220429_093930.jpg
IMG_20220429_100148.jpg
IMG_20220429_093923.jpg


image_2023-01-18_202415280.png
 

Attachments

  • IMG_20220429_093923.jpg
    IMG_20220429_093923.jpg
    1.2 MB · Views: 8
Watu wanajaza mawe ovyo kwenye mitaro ya maji alaf ukiwaskia sasa nye nye nye sisi tumesoma mpaka mwalim alikimbia darasa View attachment 2486339View attachment 2486340
Jana kuna sehemu nimepita usiku nikamuona road side seller anatoa uchafu kwenye mfereji. Ni ustaarabu sana maana anajua keshoa atakuja uza tena. Alikua anauza mafenesi (jack fruit). Yaani usafi ni nature. Wakunya hawawezi mpaka ije external force
 
Hii barabara nayo mmeizungusha sana bana. Iacheni ipumzike.
Maeneo mengi Nairobi kilomita nyingi kutoka CBD ni masafi tu na yameendelea ila kuna maeneo chafu pia kama ilivyo hapo Dar. Hii miji yote ni third world, msijifanye hamna uchafu huko. Nilichokuwa nawaeleza ni kwamba CBD ya Nairobi sii chafu na imepangika kuliko CBD karibia zote Afrika ukitoa SA.

Eneo kama hili kwa mfano kilomita 30 kutoka CBD.View attachment 2486595View attachment 2486596View attachment 2486597

View attachment 2486590
Nairobi this Nairobi that Nairobi blah blah blah
JamiiForums1678035084.jpg
JamiiForums-1830447108.jpg
JamiiForums87392618.jpg
 
Jana kuna sehemu nimepita usiku nikamuona road side seller anatoa uchafu kwenye mfereji. Ni ustaarabu sana maana anajua keshoa atakuja uza tena. Alikua anauza mafenesi (jack fruit). Yaani usafi ni nature. Wakunya hawawezi mpaka ije external force
Watanzania kwa ss kuhusu usafi wameelimika sn, ndiyo maana hakuna magonjwa ya aibu kama kipindupindu kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
 
Ichogal hajachoka kuokota mapicha kwa net

Ichoboy anaweza kusafiri popote humo Kunyaland, anaweza kupiga picha kwa kutumia simu janja yake aina ya iPhone 14 pro Max,
Ichoboy anamiliki gari ya kisasa zaidi, na anaweza kujaza mafuta toka Mombasa hadi Juba to and fro na acount yake isihisi tofauti yotote,
Ichonoy anaweza kuja nairobi na kufikia hotel yoyote hapo Nairobi, kuanzia ole sereni hadi intercontinental,
Watz wa jf sio mafukara kama ulivyo fukara wewe na mafukara wenzio wa huko JamiiForums.com.
 
NHC inafanya vizuri sana kununua eneo kubwa kisha kupima viwanja, kuweka miundombinu na kuviuza kwa wananchi vikiwa already surveyed, hii inapunguza makazi holela

Wakizingatia masterplan hii Arusha itapendeza sana

View attachment 2486683View attachment 2486684

Wazingatie pia aina za nyumba mtu akishanunua uwanja apeleke mchoro wa nyumba yake ili wamshauri aina ya nyumba kabla hajajenga, sio ananunua uwanja alafu anajenga banda la kuku kama nyumba za Kenya, lkn pia aina na rangi za mabati zizingatiwe sio kila mtu anaweka bati lake huo unakuwa kama uchafu na unakera machoni.
 
Serikali inatakiwa wawe wakali sn kwenye suala la ujenzi holela, wasichekee wananchi hata kidogo, mtu aki violate nyumba ibomolewe kabisa nadhani hyo itafanya wananchi kuwa waoga na kutii sheria. Hata huku Dar ingekuwa hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom