Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwapate wanakuwekea picha za kutengeneza sasa, na vimaneno vya kingereza "the modern city under the sun" kumbe uhalisia huu hapa
tapatalk_117318481_480x600.jpg
Screenshot_20230118-065613.jpg
Screenshot_20230118-160510.jpg
 
Hakuna mtu atakulaumu ndio ubongo ulipokomea 🤣🤣🤣🤣 unless hakuna mtu haijui mombasa
Mombasa imekutesa moyo najua.., mwenzake Dar, hivi karibuni inaenda kukua zaidi ya Dar..., poleni sana, vumilia mtafika tu.,
Dar is Slum Density
1674048970066.png


Mombasa City Density🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1674049016876.png


Ni kilaza tu atafananisha Mombasa na Mwanza, pole bro, ngojeni miaka mia moja, endelea kujiliwaza na vipicha vya kuchagua chagua😝😂😂😂😂😂
1674048828356.png

1674048838404.png
 
Weka na picha mpya sasa mbn unaweka picha za miaka 20 iliyopita, weka mpya kama sisi tunavyofanya, alafu usichukue picha Google panda bus njoo Tz upige picha kama sisi tufanyavyo msiendekeze ufukara mazee.
I knew you would be at the forefront kupinga hizo picha. Kawaida yenu sana. Eti nije kuzurura uswazini Dar kupiga picha za magari na barabara? Not all of us are that idle
 
Mombasa imekutesa moyo najua.., mwenzake Dar, hivi karibuni inaenda kukua zaidi ya Dar..., poleni sana, vumilia mtafika tu.,
Dar is Slum Density
View attachment 2486343

Mombasa City Density🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
View attachment 2486345


Ni kilaza tu atafananisha Mombasa na Mwanza, pole bro, ngojeni miaka mia moja, endelea kujiliwaza na vipicha vya kuchagua chagua😝😂😂😂😂😂
View attachment 2486341
View attachment 2486342
Hasira zikiisha nitag plz 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umekasirika au ???🤣🤣🤣🤣🤣
Nina furaha tele nikikuona vile unahangaika kuikomboa Dar na haikomboleki😂😂😂😂😂, huyu Murundi anaonyesha vile wewe ni biased, unapekua pekua za kutuma, yeye ametembea randomly kwanza huu mwezi tu, wivu inakunyonga, ni uchungu kuona Dar kwa Nairobi haitoshi mboga, ni uchungu ila zoea😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Tuwe wakweli Tz haijafika level za Kenya kwa uchafu achana na mambo ya blind patriotism.
usafi gani iko Dar wakati only 10% of your city residents are connected to the sewer system. Am sure hata wewe nyumba unayoishi hapo uswazini haina sewer connection unatumia choo ya kuchimba
 
Back
Top Bottom