Mbona upperhill naona hapo au?🤣🤣🤣South B Nairobi
![]()
Kama hutaki kuona cropMbona upperhill naona hapo au?🤣🤣🤣
Unaleta picha za 2012 hahahaha. Dar ya sasa siyo Dar ya 2012.Nyinyi kujua kiswahili mbona haijawatoa hapa View attachment 2486178View attachment 2486179View attachment 2486180View attachment 2486181View attachment 2486183View attachment 2486184View attachment 2486185View attachment 2486186View attachment 2486187View attachment 2486188View attachment 2486189View attachment 2486190View attachment 2486191View attachment 2486192View attachment 2486193View attachment 2486194View attachment 2486196
Hii hapaOnesha hiyo angle tuione.

Unayoonesha hapa ni Muranng'a Road Koja Roundabout ambayo iko nje ya CBD, picha ya kwanza ni Kimathi Street, mbele ya Nation Center ambayo iko ndani ya CBD. Hizo ni sehemu mbili tofauti. Onesha hiyo Kimathi Street kwa hiyo hali ya uhalisia unayoongeles tuione.
Wakenya tuambieni sasa hizo picha ni Nairobi au siyo Nairobi?Unayoonesha hapa ni Muranng'a Road Koja Roundabout ambayo iko nje ya CBD, picha ya kwanza ni Kimathi Street, mbele ya Nation Center ambayo iko ndani ya CBD. Hizo ni sehemu mbili tofauti. Onesha hiyo Kimathi Street kwa hiyo hali ya uhalisia unayoongeles tuione.
Wewe wacha kubadili mjadala. Tunadebunk huu ujinga wa mtu kukataa picha nzuri za Nairobi eti zimetengenezwa kwa Kompyuta alafu analeta picha tofauti akikazana eti ndio picha halisia.Wakenya tuambieni sasa hizo picha ni Nairobi au siyo Nairobi?
Vijana wa Kundustan mnasemaje?
Sasa wewe unatakaje sasa?Wewe wacha kubadili mjadala. Tunadebunk huu ujinga wa mtu kukataa picha nzuri za Nairobi eti zimetengenezwa kwa Kompyuta alafu analeta picha tofauti akikazana eti ndio picha halisia.
Beautiful Estate Road. Nice footpath.
Kwani ni haki maeneo ya nje ya CBD kuwa machafu na kunuka???Unayoonesha hapa ni Muranng'a Road Koja Roundabout ambayo iko nje ya CBD, picha ya kwanza ni Kimathi Street, mbele ya Nation Center ambayo iko ndani ya CBD. Hizo ni sehemu mbili tofauti. Onesha hiyo Kimathi Street kwa hiyo hali ya uhalisia unayoongeles tuione.
Barabara zote za BRT zina footpath kama hiyo Dar nzima...imagine hadi kimara huko...Beautiful Estate Road. Nice footpath.