Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutoka kwa Msemaji wa Tanesco

IMG_4613.jpg

IMG_4614.jpg

IMG_4615.jpg
 
Mwendelezo wa Takwimu kwa mujibu wa IFFHS.
Ligi kuu ya Tanzania bara imekuwa ligi bora barani Africa no. 5, na no. 39 duniani kwa mwaka 2022
Ligi 10 bora Africa
1. Egypt
2. Algeria
3. Morocco
4. Sudan
5. Tanzania
6. South Africa
7. Angola
8. Tunisia
9. Nigeria
10. Zambia



Tujikumbushe. Kwa mwaka 2021, tulikuwa ligi ya 10 Africa


Mwaka 2020, tulikuwa wa 8
Kumbe SA si lolote si chochote, ligi yetu ni bora sana, hapo uyo aliye juu yetu hastahili kabisa, mwakani tunapiga chini tunaanza kuwatafuta waarabu, si unakumbuka Yanga ilivyowapigia mwingi waarabu kwenye ardhi yao, hyo inatosha kuonesha jinsi gani ligi imekuwa sn.
 
Kumbe SA si lolote si chochote, ligi yetu ni bora sana, hapo uyo aliye juu yetu hastahili kabisa, mwakani tunapiga chini tunaanza kuwatafuta waarabu, si unakumbuka Yanga ilivyowapigia mwingi waarabu kwenye ardhi yao, hyo inatosha kuonesha jinsi gani ligi imekuwa sn.
Sudan nao wa moto, angalia wanavyosajili wachezaji bora kutoka nje na performance ya timu zao kwenye mashindano ya CAF..
Hio nafas ya 4 mpk 6 wanaostahili ni haohao South Africa, Sudan na Tanzania, alternating. Hao watatu juu ni habari nyingine, ila miaka ijayo tunaweza kutoboa hadi top 3
 
Kama hujawahi kutoka nje ya Tz lazima useme hivyo!
DSM kwa Nairobi hatuifikii hata chembe!
Huu ukweli unauma sana.., utapigwa na wenzako wewe, nashuku kwa sasa The best 007 ameingia inbox kukuonya usikubaliane na Wakenya, ila wewe eneza ukweli, usiogope makapuku 😂 😂 😂 .
 
Amefinywa penyewe sasa ni "google nikomboe" anakufa huyu.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., which year was Eastleigh like this?
20230118_161111-jpg.2487146

Vumilia dogo.., ushamba mlio nayo hadi dunia inaisha hamkomboleki nyinyi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1674117738920.png

1674117871440.png

1674117822977.png

1674117834930.png

1674117857943.png

1674117774973.png

1674117806704.png

1674117888615.png
 
Watakuja kupekua pekua kutafuta uchafu wapost kujiliwaza.., 🔥🔥🔥🔥🔥
What do you expect someone from a city like Dar full of uswazi hovels to do in Nairobi? Of course he'll camp in Nairobi trying the find the same filth that fills their city
 
What do you expect someone from a city like Dar full of uswazi hovels to do in Nairobi? Of course he'll camp in Nairobi trying the find the same filth that fills their city
Inferiority complex, I like Ugandans sana, wanajikubali, and they blast us where necessary but can't deny the truth.., hawa tumewabana kwa ku expose Dar, and showcasing Nairobi kote kote, hawana jibu kwa Nairobi kamwe, inabidi watafute pakutokea,.. wakiweka anything from Dar wakificha ukweli na angles tuna blast.., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Inferiority complex, I like Ugandans sana, wanajikubali, and they blast us where necessary but can't deny the truth.., hawa tumewabana kwa ku expose Dar, and showcasing Nairobi kote kote, hawana jibu kwa Nairobi kamwe, inabidi watafute pakutokea,.. wakiweka anything from Dar wakificha ukweli na angles tuna blast..,
Acheni kujikosha nyie kenge wa Kenya
 
Picha ya kwanza ipo kwenye report ya unhabitat ya mwaka 2009
(director wake akiwa ni mbongo Prof Anna Tibaijuka) link hii hapa https://unhabitat.org/sites/default/files/download-manager-files/Tanzania Dar es Salaam Urban Profile.pdf
Screenshot_20230119-121714_WPS Office.jpg


Picha ya pili ni mwaka 2012
(link hii hapa, The Harbor Slums Of Dar Es Salaam In Tanzania Editorial Stock Photo - Image of salaam, port: 90690013)
Screenshot_20230119-120603_Chrome.jpg

Picha ya tatu na nne nazo ni za mwaka 2012
(link yake hii hapa, The street market of the city of Dar Es Salaam in Tanzania, 26. September 2012)
Screenshot_20230119-120838_Chrome.jpg

Picha ya mwisho link yake hii hapa Repercussions of Improved Municipal Solid Waste Management on Flood Risk Reduction: The Case of Dar es Salaam, Tanzania

Hatutaki picha za zaman, tunataka picha za either mwaka huu au mwaka jana. Kila mtu zaman maisha yake yalikuwa duni, wengine tulianza maisha tumepanga kwenye vibanda lkn saiz tumeendelea kimaendeleo na kujenga nyumba nzuri tu. Nyie pamoja na GDP kubwa fake, maisha yenu bado ni duni sana
 
Donholm, an ordinary estate in Nairobi for the middle-class. Kule Dar, hii utakuwa na ya upper middle-class or even for the rich
images - 2023-01-19T105644.373.jpeg
images - 2023-01-19T105716.860.jpeg
images - 2023-01-19T105733.833.jpeg
images - 2023-01-19T105849.680.jpeg
images - 2023-01-19T121519.351.jpeg
images - 2023-01-19T121711.981.jpeg
images - 2023-01-19T121632.831.jpeg
 
Back
Top Bottom