Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tunarudi hapo hapo , hili jipu ni jipu la taifa viongozi wengi wenye dhamana hawana haraka ya maendeleo vitu vipo on paper wanavivundika for nothing
Hiki kitu ndicho kinachochelewesha maendeleo, sijui huwa wanadiscuss nini, kama sheria inazuia hawashindwi kuibadilisha kwasbabu wao ni kila kitu.

Majadiliano yanachukua muda mrefu mpaka miradi inasahaulika. Ahadi nyingi zisizo tekelezeka.
 
Is Zambia in EA?, Is South Sudan not member of EAC, why they don't ask for discount?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ulisoma nilichoandika ukaelewa kweli? Ama ushalewa konyagi zako?

I said we only buy from Tanzania because of the spirit of EAC. Otherwise, we can buy maize anywhere we want and gave example with Zambia. Your comprehension level is wanting! Read to understand bongolala
 
mkuu hakuna kilichotengwa wangezungumzia pale kulingana na jinsi viongozi walivyo slow kimaamuzi inaweza kuvhukua mda mrefu au tukabakia nayo kwenye karatasi
Uthubutu wa Magufuli ndipo unapoonekana hapa. Mambo mengi yamefanyika kwasababu ya maamuzi yake ya ujasiri.
 
yap. ndo huyu fala
Kazingua sana,hivi atakuwa mwenyewe kweli au kuna kitu behind the curtain? Ngoja tuone baada ya uchunguzi huenda report ikawekwa hadharani hata kwa uchache tu.
 
Sema tu una wivu tutakuelewa. Sio WHO pekee imeleta headuarters Kenya. Kampuni karibu zote international zinakuja Nairobi.
Mbona kila siku huwa ninawaambia kwamba mradi wa Galana Kulalu ndio mradi Bora ambao wakenya mnapaswa kuuzingatia zaidi, huo ndio utakaotoa ajira nyingi kwa wakenya na kumaliza matatizo ya msingi hapo Kenya.

Tatizo lenu ninyi mnadhani Kenya ni Nairobi pekee na kwamba watu wa vijijini na huko upcountry hawana nafasi kabisa ya kuahiriki katika uchumi wenu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya is one of the three African countries selected by the WHO to host a logistics hub that will be equipped with emergency medical personnel, commodities and equipment to support countries with emergencies in Eastern Africa.

20220710_100919.jpg
20220710_100910.jpg

20220710_100902.jpg
 
Serikali ipange huu mji upya tu ..hii ni aibu sana
Mama Tibaijuka alitaka kujaribu kuupanga huu mji yakatokea mashetani yakamzuia, kuna mijitu mingine utadhani haikuumbwa na roho ya utu ubinafsi ubinafsi, choyo, chuki, uroho wa madaraka ndivyo vitu wawazavyo, walimzuia bwana wakati pesa ilikuwa imeshapatikana.
 
Hii mbwa imeamua itoroke nchi yake baada ya kuharibu nchi yake.
Viongozi wengine hawapo madarakani kwa ajili ya watu wao wanaowaongoza bali kwa interest zao, sasa hapo ukute kaondoka na pesa ya kutosha anakula bata maisha yake yote na vizazi vyake huku wananchi akiwaachia mateso.
 
Acha hizo ameondoka ameshindwa Mchuchuma na Liganga,Bagamoyo port.Hilo daraja la jangwani ndio hakutaka hata kugusa kabisa.
Sijazungumzia ulivyovitaja hapa,nimesema kufanya maamuzi kwa miradi anayotaka kuifanya.

Sasa hivi ulivyovitaja hapa tangu tuambiwe hasa daraja na mto Msimbazi ni muda gani umepita?

Magufuli alivyokuwa akisema kitu fulani kifanyike unaona process zimeanza, kama hakuwa na interest na mradi wowote hasemi wala kuutaja.

Alikuwa anasema atafanya kitu fulani wakati akiwa ana uhakika atafanya. Ahadi, ahadi alikuwa hatoi. Mwenyewe alikuwa na kauli yake anasema "siwezi kuahidi kitu ambacho sina uhakika nacho, ukiona nimesema tutafanya ninajua nitatoa wapi pesa, pesa zipo, hii nchi ni tajiri sana Watanzania tembeeni vifua mbele "

Umenielewa?????
 
Haya Sasa Putin amsaidie ndugu yake kamba yako ikiwa mikononi mwa mchina au Mrusi inakatika any time
Amsaidiaje wakati kwake kwenyewe kunafuka moshi? Usikute amekimbilia US au nchi za mlengo wa US na UK.
 
Back
Top Bottom