chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Unajua maana ya almost? 😂😂😂70%? Data za vijiweni, sivyo?
Sasa kama mlikua during the study 65% na njaa hii si mmefika 79%
Unajua maana ya almost? 😂😂😂70%? Data za vijiweni, sivyo?
Muwe na hela kisha msaidiwe chakula?
Kunyaland yote njaa
Kama kuwadanganya kwamba miradi zenu mnafanya ba hela za ndani sivyo?Unataka kufananisha utendakazi wa JPM na huyo mulevi muongo wa gatundu!
Vitu alivyo vianzisha tu ndani ya miaka mitano itamchukua huyo mulevi wa gatundu miaka 100 kuanzisha.
Mbona ndio kawaida yenu kutuzungushia bakuli? Tatizo mnasahau fasta, technology haina ubongo wa mende kama wenu unfortunately 😂😂😂Mahindi tunanunua kwenu siku zote. Niambie siku tumekuja kutembeza bakuli Tanzania eti mtusaidie mahindi ya bure
Muwe na hela kisha msaidiwe chakula?
Kunyaland yote njaa
As long as ni data za vijiweni sina shidaUnajua maana ya almost? 😂😂😂
Sasa kama mlikua during the study 65% na njaa hii si mmefika 79%
Mbona regulator wa media wala data house yenu haikupinga? 😂😂😂As long as ni data za vijiweni sina shida
Kama kuwadanfanya kwamba miradi zenu mnafanya ba hela za ndani sivyo?
Tumuonee wivu marehemu 😂😂😂Nimenotice Watanzania mna wivu sana na Kenya.
Nimenotice Watanzania mna wivu sana na Kenya.
Yaani mna wivu mpaka joto la jiwe anajaribu kunishawishi kwamba international companies kuwekeza Nairobi ni jambo mbaya sana. 🤣 🤣 🤣 😂Tumuonee wivu marehemu 😂😂😂
Better leader must prepare his country for his departure, what if he does suddenly like Magufuli?.I concur with him, without PK Rwanda is going back to civil war madness. a smart succession plan needed.
Better leader must prepare his country for his departure, what if he does suddenly like Magufuli?.
Amekua madarakani kwa muda mrefu Sana, amekua akiaminisha Dunia kwamba Rwanda imepiga hatua katika nyanja zote kisiasa, kiuchumi, kijamii na amewafanya wanyarwanda kuwa kitu kimoja, vipi unahisi akiondoka Rwanda itasambaratika?.
Kwahiyo anahitaji Miaka mingapi tena ili wanyarwanda wawe na uwezo wa kujisimamia bila yeye?. Hiyo ni miongoni mwa tabia ya viongozi wa aina yeke
1)Mabutu Sseseseko
2)Did Amin
3)Muamar Gaddafi
4) Yoweri Musseven
5)Edwardo do Santos
6)Robert Mugabe
Ukifuatilia kwa makini historia ya viongozi wa namna hiyo, wote mwisho wao hauwi mzuri, hata baada ya kustaafu kwao kwa hiari, lakini wanapoteza heshima na wengi wanakimbilia nje ya nchi zao kwenda kuishi Kama Edwardo do Santos wa Angola
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



I said ORGANISATIONS. I did not limit my statement to the UN.Skilled labour?, Kwahiyo Geneva Kuna skilled labour kuliko nchi zote hapa duniani?. Kenya Kuna skilled labour kuliko nchi zote Afrika?.
By the way, UN offices zinatoa ajira kwa uwiano sawa wa nchi zote, hawaruhusiwi kuajiri watu toka nchi Moja labda katika nafasi za chini Kama walinzi, madereva na wapishi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So why do you agree on the number of people but not number of villages connected while both come from the same source?, Which is easy to verify between number if people connected and villages?. If you think there is mistake among the two, most likely is number of people because is not easy to know number of people rather than counting number of villages. If you get an opportunity to drive from Kenya to Tanzania, just take time to count villages and see how many are connected and those who are not, you will never talk this shit again.Kwani kuna siku mewahikubaliana na data yoyote hapa ndani? Si mnazipinga kila siku?
Alafu mlivyowajinga you can't even take a minute to think! Your government says that the total number of connected households is 2.7m and at the same time eti electricity access rate yenu ni 85%! How sensible is this?
Assuming that the average number of people per household is 6 (which is even a higher figure), how does this translate to 85% access rate?



We huijui dar ila ongeza bidii ipo siku utafka tu ongeza bidiiDanganya hao watu hawajui dar, mr.propaganda