Hivi unapata wapi ujasiri wa kuita Kenya ni nchi tajiri, nchi ambayo raia wake hawana uwezo wa kupata Milo mitatu kwa siku, waziri anajaribu kubembeleza nchi jirani ili iwatengee chakula chenu kwasababu hamna uwezo wa kupambana ili chakula kisiende South Sudan badala yake muendelee kuuziwa ninyi "at cheaper price", hiyo ndiyo nchi tajiri?.
Kwahiyo utajiri wa Kenya ni "theoretical and verbal only" lakini hausaidii wananchi Wala hauonekani popote "physically?"
Waziri wa Kilimo, Peter Munya amesema kuwa wapo katika mazungumzo na nchi jirani za Zambia, Tanzania na Uganda ili kuzuia kusafirisha mahindi kwenda nchi nyingine na kupeleka nchini humo katika juhudi mpya za kupunguza kupanda kwa bei ya unga wa mahindi, kupunguza mfumuko wa bei na kubana kwa...
www.jamiiforums.com
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app