Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 Naona unaenda kutafuta mipaka sasa, by the way huo ni msitu mzee wangu, ni mpaka wa Dar kisarawe Pwani
Msitu gani, ona hizo shamba za mihogo. 🤣 🤣 🤣

1657394314723.png
 
Ukiachana na "ceremonial", faida gani Kenya inapata, mbona matatizo Kenya ndio yanaongezeka?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nimeshakueleza mara nyingi kwamba watu wengi ambao wanaandikwa kazi na hizi international companies ni Wakenya. Hii WHO ambayo inakuja Kenya ni UN organisation na itaajiri watu 150 na kati ya hao lazima kuwe na wapishi, drivers, secretaries na kadhalika na wengi wao watakuwa ni Wakenya. Kwenye speech ya rais Uhuru jana kwenye hafla hii alisema kwamba WHO itaajiri watu 150 mwanzoni kisha itaongeza idadi ya wafanyikazi kadri mahitaji yatakavyoongezeka.
 
here, we mostly deal with matters infrastructure ie. roads, railways, ports, airports, interchanges and facility project developments. we also deal with new buildings and skyscrapers, cityscapes and cityskylines. also agriculture, food shortages and their import and exports. also malls, bus parks, hospitals, real estates, manufacturing industries, informal settlements, slums(uswazi)etc. also services industry eg. aviation, tourism, hoteliers and accommodation, banking etc. also matters sports. also motor vehicle design and their models, also strongly
local and regional politics, international and regional news of concern and finally, we like dealing with matters finances, economy, inflations, gdp sizes and their growths, world rankings. etc

rarely do we deal with Fashion, Cloth Lebels, Beauty and Modelling, Makeups, Manicure, Pedicure and Mascara, Music and Drama etc.


Hivi kama ungekua msouthafrican ungefaa sana kuitwa "Ntombi Khumalo".....
 
Hawa ni vilaza tu na hata serikali yao inajua hivyo. Kuwadanganya ni rahisi sana no wonder Magufuli had a field day there lying to them morning to evening
Magufuli ali lie nn?

Hakujenga electrifitried SGR?

hakujenga BRT?

Hakujenga bus terminals nchi nzima?

Hakujenga masoko ya kisasa nchi nzima?

Hakujenga meli kubwa na za kisasa kuliko zote East and Central Africa?

Hakujenga JNHPP?

Hakujenga ports?

Hakujenga Ikulu ambayo nyie mpk leo rais wenu anakaa kwenye choo cha mkoloni?

Hakuijenga Dodoma inayowapea stress kila kukicha?

Hakusambaza umeme kila kijiji kwa bei rahisi?

Hakupeleka maji sehemu ambazo zilikuwa na shida ya maji hususan vijijini?

Hakujenga cable stayed bridges?

Hakujenga biggest airport in East and Central Africa?

Hakujenga hospitali za kisasa nchi nzima?

Hakujenga flyovers?

Hakujenga interchange?

Hakujenga barabara za kiwango nchi nzima?

Hakujenga madaraja nchi nzima?

Hakununua ndege za kisasa na kubwa?

Hakukarabati mgr? Magufuli aliongopa nn?

Magufuli na Uhuru nani muongo?

Uhuru aliwaahidi atajenga electrifitried SGR, alijenga?

Uhuru aliahidi laptop kwa kila mwanafunzi alitoa?

Uhuru aliahidi kumaliza njaa Kenya imeisha?

Uhuru aliahidi kupunguza tatizo la ajira, je alipunguza?

Uhuru aliahidi kuondoa ma slums Kenya je kayaondoa?

Tell me, Magufuli na Uhuru nani muongo
 
Message ya Mkubwa wa WHO

Serikali ya Kenya imetoa mchango wa $5 million kwa ajili ya kusaidia WHO kujenga hii African logistics hub. GoK pia imetoa shamba ya ekari 30 ndani ya Kenyatta university kwa ajili ya kujenga hii logistics hub. Wakati wa Covid-19 vaccine za Africa zilikuwa zinatolewa Dubai. Sasa angalau madawa ya WHO yatakuwa stored in Nairobi.
Serikali ya Tanzania haiwezi kufanya huo upuuzi wa lobbying kwa global organisations na multinationals ili wafungue offices Tz. We have better use for our money.
 
Ubaya wenu ni kwamba hamkubaliani na data kama hizi. Ubishi za kijinga sana. Sasa toa povu basi
Dude that is a stale data alot of big investments zimefanywa kwenye electrification in Tz for the past 3 years.
Access to electricity in Tz for rural areas is >85% and for urban centres ni 95% kama hutaki kalilie chooni hatutishiki na vidata vya mchongo.
 
Hawa ni vilaza tu na hata serikali yao inajua hivyo. Kuwadanganya ni rahisi sana no wonder Magufuli had a field day there lying to them morning to evening
Embu weka picha moja ya mwanafunzi akitumia laptop ya UK hapa tucheke kidogo.
 
Back
Top Bottom